Habari!!!
Kuna mtu aliniagiza kutafuta soko la mbao nje, nimepata wanunuzi ila wame demand waone scanned copy ya vibali vyake vya biashara kwanza. Mpaka sasa vibali kutumwa imekuwa issue (Sielewi sababu kwanini mpaka now havijatumwa)
So kwa muuzaji wa mbao anayeweza ku supply mzigo na mwenye...
Habari!
Nimepata wazo la kuanzisha kampuni ya kuunganisha wajasiriamali/kampuni ndogo na za kati na wawekezaji (investor)/investment company ili kuwawezesha ku access capital kwa ajili ya kukuzia biashara.
Nina uzoefu wa kufanya kazi nao kwa muda fulani, lakini pia kuwashirikisha katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.