Recent content by PConsultant

  1. P

    JamiiForums Tanzania Plots for sale Tegeta Namanga

    Two plots for sale at Tegeta Namanga; SQM 1900 @ Tshs 130million with clean title deed and 3/4 acre @ Tshs 150million No title deed. Quite neighbourhood and accessed well from Bagamoyo Road. Ur welcome
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nunua na kupanga nyumba

    Nyumba inapangishwa mbezi beach - karibu na nyumba za nssf usd 800, pia zipo na za kuuza usd 180,000 mpaka 200,000.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa- bokonemela Kibaha

    lina ekari 35, na kila eka ni sh. milioni 4. lipo umbali wa km 10 kutoka tumbi hospitali. KARIBU SANA
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kikwete unatukera na Kampuni ya STRABAG, inatutia Umasikini... Magufuli kimyaaa!

    Kweli duduwasha una matatizo ya kufikiri na nina wasiwasi sana na maendeleo yako binafsi?uwe unafikiri kidogo kabla ya kupost maana humu kuna watu wenye akili zao nzuri wanaojua nini maana ya maendeleo kujengwa katika nchi zinazoendelea.................. Natamani nendelee kuku....na bt ngoja...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Eneo la Oysterbay Police lauzwa kwa mwekezaji!

    Wakati mwingine, muache ujinga wa kujadili kitu msichokielewa! Muwe mnafuatilia habari kidogo. Au kwa sababu wamesimama wahindi basi pameuzwa? Mbona wakati tenda imetangazwa hukupeleka maombi ili uweze kupata na kuingia ubia na wizara ya mambno ya ndani ujenge unachotaka. Acheni kuona kila kitu...
  6. P

    JamiiForums Tanzania JB: Mganda huyu ni nani na anafanya nini Tanzania?

    Mwanakijiji akamwambia; Bwana mkubwa tuliona mtu anawekeza Tanzania kwa jina la la JB; tukakerekwa moyoni, kwa sababu 1, 2, 3, 4,........................ PConsultant akawaambia akamwambia, usikerekwe/usichukie/ wala usishtuke, kwa kuwa yeye ambaye si kinyume chenu yu upande wenu. (Mathew 9:50 KJV)
  7. P

    JamiiForums Tanzania Maandamano nchi nzima, yanaweza kutatua kero zetu?

    Salaam ndugu wana JF: Nimejaribu kupitia thread kwa haraka kidogo nami nimeona nitoe yangu niliyoyatafakari kulingana ninyi mnavyowaza: 1) kwanza kabisa inaonekana kabisa wadau wengi sana wanatoa maoni kwa mtazamo wa hasira na chuki juu ya kiongozi(Rais aliyeko madarakani) 2) kwa mtazamo huu...
Back
Top Bottom