Habari zenu wadau?
Suala la uzoefu (experience) limekuwa changamoto pale unapohitimu mafunzo/chuo na kuanza kusaka ajira...pamoja na mimi kuwa na shahada ya masuala ya benki na fedha nikiwa na uzoefu ule wa "field" pekee imekuwa changamoto kwangu kupata ajira (entry level job) hata zile za...
Habari zenu wadau,
Kutokana na changamoto za maisha suala la kujiajiri au kuajiriwa ni la mtu binafsi, hivyo kwa wale waliochagua kusubiri kuajiriwa mara nyingi suala la usaili (interview) halikwepeki, kama umewahi kupitia usaili huenda ulikumbana na baadhi ya changamoto na ulijifunza jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.