ukitaka uamini nenda kisongo aliko rais wa arusha cell anayolala na wengine yule anatunzwa guest utamkuta ananawili tu kamatwa wewe baada ya cku mbili chawa had miguuuni jifunze
jamani kukamatwa sio kufungwa MTU kama mbowe ni kama kuweka maji ziwani jioni atatoka mahojiano yakiwa yanaendelea huku wanakunywa na vinywaji either bia au soda hao sio wenzetu bwana hii nchi imegawanika like piramid kwa hyo usisjangae kukamatwa mm nasema wameenda kumpokea
ni kweli kulingana na maoni yako lkn kiukweli tz bado sana kuwa na wapinzani lkn huwez ukampa mknd nch anko magu amekaa kwenye uongoz zaid ya miaka 25 ukitoa umri wa mknd unabakiwa na na miaka 12 ukichukua umr wa ajira na utajiri wa mknd ukatoa umri wa ajira na utajir was anko magu unapata gross...
hivi tundu lisu yeye nani aogopwe na serikali mbona ata nusu ya tulia hafikiii halafu mnamuona msomiiiii wakati mrpokaji kama yy anavyomponda rais kuwa wa ajabu unajua humu nyie wengi wenu huwa mnaongea kama mnakula unga wa sembe muwe mnakula na mchele yani kila kitu ni kupinga na kuponda mazuri...
yeye kweli ni kiongoz wa taifa anakaa mkoa gani? mkuu wa mkoa wake anakokaa anaitwa nani au anakaa mkoa unaitwa taifa kama anakaa mkoa unaitwa taifa namuunga mkono kama anakaa mkoa ule wa kutaja majina ajitokeze cc tupo wafuas wake tutamtetea na losi ndutu wtu
yanga ni ccm na ukiangalia kwa umakini wafuasi wengi wa yanga ni wanachama wa ccm ni robo kama sio thelithi ambao ni simba wengi wao wanachama wa ccm ni wanayanga cjui manji ataihama ccm aje auze na mchele simba au azam misukari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.