Habari ya mda huu ndugu zangu.
Kuna dogo mmoja alikuwa kwenye orodha ya multiple admitted, tumecomfirm SUA lakn profile yake haionyeshi mabadiliko yeyote. Naomba kufahamu kwa yule aliyeconfirm SUA nini kimeonekana kwenye profile yake ili niweze kujua kama ni tatizo au laa maana nikiwapigia...
ningekuona wa maana sana endapo ungewashangaa wanachuo ambao wanaibia wenzao wala si kumshangaa ambae anaenda na trunk chuoni. Ubishoo wako wa kutokuwa nalo usiupeleke kwa mtu mwingine ambaye anaona kuwa lina msaada kwake. Kwanza sidhani kama kuna chuo ambacho kimetoa tamko la watu wasiende na...
ni simple sana mkuu, Ukishuka ubungo unatembea kdogo na barabara inayoelekea morogoro (kama mita 100 iv) utakuta junction (ubungo taa), pinda kushoto na unyoke na hiyo barabara ambapo utakuta kituo cha daladala. Panda gari iendayo mbagala (nauli ni kama 500) ambapo utashuka kituo cha taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.