Recent content by Paulo

  1. Paulo

    ICBC Standard Bank failed to prevent bribery at Tanzanian unit - SFO

    Noooo...Yule wa Lowassa anaitwa Hawa Sinare....Huyu ni Shose Sinare, ambaye amewahi kuwa Miss Tanzania..Kwanza pesa akina Shose walizokusanya sio USD 6m bali ni USD 600m. Na walizikabidhi serikalini ambapo waziri wa fedha kipindi hicho aliyezipokea ni Mgimwa...Pesa zilikabidhiwa kwa serikali ya...
  2. Paulo

    Dar unveils its Modern Commuter Buses

    Hivi wewe umewahi kupanda matatu Nairobi? kwanza kupata bus is an issue...halafu hawana mabasi ya kisasa. Haya mabasi yaliyoziduliwa dar this week ndiyo yanayotumiwa Ulaya pia... Hiyo ndio express bus ya Nairobi
  3. Paulo

    Dar unveils its Modern Commuter Buses

    Not once, not twice,....
  4. Paulo

    Dar unveils its Modern Commuter Buses

    Acha ushamba Kiraia. I know Nairobi very well. Ninapoingia Nairobi mchana nikiwa na Kenya Airways huwa napata view nzuri sana ya jiji la Nairobi. In fact, intra-city public transport in Nairobi is a big challenge
  5. Paulo

    Dar unveils its Modern Commuter Buses

    Tehe...I always never get it when I see matatu ya jiji la Nairobian yalivyochorwa picha za kifreemason kila mahali. Wanahitaji maombi!
  6. Paulo

    Dar unveils its Modern Commuter Buses

    Masaburi lazima awepo. He is Dar's Lord Mayor that's why he was featured during inauguration ceremony
  7. Paulo

    Dar unveils its Modern Commuter Buses

    Kujitekenya??? Wakati Nairobi inazindua matatu yaliyopakwa rangi za ajabu ajabu na freemasonry symbols, Dar wanazindua machines....​
  8. Paulo

    Dar unveils its Modern Commuter Buses

    Watani mtaisoma namba this time. EA wote mnakaribishwa Tanzania kupata selfie mkiwa ndani ya mabasi haya ya kisasa.
  9. Paulo

    Dar unveils its Modern Commuter Buses

    Modern commuter buses have been unveiled in Dar es salaam. The event marked an important milestone in the history of improving the transportation system in this East Africa's most populous commercial city. This is a clear testimony that the city of Dar es Salaam is leading other East Africa...
  10. Paulo

    CUF hatutayumbishwa na nyodo zenu

    All what CUF is planning to do is to play "Religion Card". Mmeona kwamba CCM wamesimamisha mgombea mkristo na UKAWA wameweka Mkristo, sasa mkaona mjitoe ili mgombea wenu Muislam apewe kura za huruma na waislam... Hiyo strategy ni mbaya mbaya mno ndugu zangu. Mnajua hatahivyo kura atakazopewa...
  11. Paulo

    CUF hatutayumbishwa na nyodo zenu

    CUF acheni ubabaishaji...Mnarihidhisha U CCM-B wenu sasa. Kwani wakati kura zinapigwa ndani ya UKAWA akachaguliwa Dr. Slaa hamkujua mlihitaji ridhaa ya watu wenu kushiriki kupiga kura? Je, angekua amechaguliwa Prof. Lipumba bado mngekataa na kusema haturidhii Prof. apeperushe bendera ya UKAWA...
  12. Paulo

    Mengi akumbatiana na Rostam Aziz, Je huu ni mkakati wa team Lowassa kutaka support ya ITV?

    Mkuu hakuna mtu anayetengeneza uadui hapa. Swali linaloulizwa hapa ni kwamba, Je, kukumbatiana huku siku chache kabla ya EL kutangaza nia sio mkakati wa team lowasa kutafuta support ya ITV? Na kesho nasikia ITV, RADIO ONE, EATV EA RADIO watarusha LIVE safari ya matumaini kutoka Amri Abeid...
  13. Paulo

    Mwigulu Nchemba: Tuhuma dhidi yangu hazina ukweli wowote

    I am not in your Boat Kiranga! The guy has a point!
  14. Paulo

    Mwigulu Nchemba: Tuhuma dhidi yangu hazina ukweli wowote

    Mkuu Yangtze, kwanza nianze kwa kukusifu kwa hatua hii. Ni kweli kabisa ukiangalia madai ya Yule bwana yana ajenda ya siri nyuma yake. Aidha anataka kujiwekea mazingira ya kugombea ama anamrayarishia mtu mwingine. Ila isiwe kwa kutafuta sababu za kuzusha kama alivyofanya. Pamoja na kwamba mimi...
Back
Top Bottom