Recent content by paulmitanda

  1. P

    JamiiForums Tanzania Prof Ndalichako nae ajihadhari na kauli zake

    Prof.NDALICHAKO yuko sahihi na aendelee kubana maake masuala ya kubebana hakikuwa yamekithiri !
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Waraka wa Kanisa Katoliki na tarehe 09-Desemba siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Jambo usilojua ni sawa na ucku wa Giza, waachieni wenye taaluma ya imani na wenye historian ya imani nasiyo kuingilia na kuingiza na kupendeza masuala yenu pasipo na ufahamu usio makini!
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Waraka wa Kanisa Katoliki na tarehe 09-Desemba siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Wasiojua maana wasijaribu kuingiza masuala yao kwenye imani za wenzao!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Siri ya Shule za Seminari kufaulisha wanafunzi ni ipi?

    Hakika nimesema,wadioelewa basi shauri Lao watabaki kuwa wasindikizaji tu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi vyuo vya ualimu kusitisha masomo wiki mbili kusahihisha mitihani ya STD 4

    Maafisa Elimu ngazi ya wilaya na mkoa walikuwa wanaumia mabilioni ya fedha na masalia ya fedha hizo hakikuwa ni ufisadi na kwa maslahi yao binafsi tu!
Back
Top Bottom