Recent content by PaulMasatu.com

  1. P

    Inawezekana kutimiza ndoto ya maisha/malengo yako

    Inawezekana! Hii ni sentensi ninayo penda kuanza nayo, sentensi hii inabeba ujumbe mkubwa uliyo jaa uwezo wa kutimiza malengo yako, ni sentensi iliyobeba ujumbe mkubwa unaofunua nguvu uliyo nayo ya kuyabadilisha maisha yako, ni sentensi ambayo inaweka hatima ya maisha yako mikononi mwako...
  2. P

    Je, unataka kufanikiwa katika maisha yako?

    Unataka kufanikiwa katika maisha yako? Unataka kuona unapiga hatua kuelekea kwenye mafanikio yako? Unataka kuona maisha yako yakibadilika na kushuhudia ongezeko katika maisha yako? Wewe ni mfanyakazi na unataka kujikwamua kimaisha kwa kujiongezea kipato kutoka ndani na nje ya kazi yako? Au...
  3. P

    Jinsi ya Kutimiza ndoto zako

    JINSI YA KUTIMIZA NDOTO ZAKO Mafanikio ni mchakato, ili uweze kuona ndoto zako zinatimia, kuna mchakato inabidi uupitie. Kutimiza ndoto zako kwanza kuna mambo mawili unatakiwa uyaangalie ndani yako mambo hayo ni a) Dhamira b) Beliefs DHAMIRA(DESIRE) Kweli umedhamiria? Ukijichunguza...
  4. P

    Take calculated risk!

    “Don’t test the depth of water with both feet” -Warren Buffett Kuelekea kwenye kutimiza ndoto yako, kuna jambo moja muhimu la kujifunza, nalo ni ku take risk, na siyo tu just a risk, inatakiwa iwe calculated risk! Kila kitu kwenye maisha kina involve risk, hakuna kitu ambacho ni salama...
  5. P

    Ukweli wa maisha yako

    Ukweli ni kwamba watu wengi wanataka mabadiliko, wanataka kuona mabadiliko kwenye maisha yao, wanataka kuona uwezo wao wakuhudumia maisha yao pamoja na familia zao ukiongezeka, watu wanataka kuona changes kwenye pato lao, wanataka kuona kipato chao kikiongezeka katika kiwango ambacho...
Back
Top Bottom