Recent content by paulkisamo

  1. P

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Mathias Chikawe

    Uozo ni uozo tu ccm imeoza na watu wake na ukweli unaanza kujitokeza kwamba huwa niwaongo siku zote sasa wwatanzania tumezinduka hatutaki majungu yenu tena kama huwezi kusimama imara kwa kuwa mkweli basi chapa lapa je? Chikawe utagombea ubunge tena?usijaribu utaumbuka baba
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arumeru Magharibi Goodluck Olemedeye Katika kikao cha bajeti Arusha, Bil 42.7 zatengwa

    Maji yanatokea ngaramtoni chaajabu hakuna mahali pana shida yamaji kama ngaramtoni jimbo la medeye kila chaguzi wimbo ni tutapata maji mara moja baada ya uchaguzi sasa hivi mgombea atakae tupambania tupate maji huyo ndiye atapata kura zetu ule ujinga wa kuangalia chama hatuna tena ila medeye...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arumeru Magharibi Goodluck Olemedeye Katika kikao cha bajeti Arusha, Bil 42.7 zatengwa

    Huyo medeiye anajipendekeza tu hana jipya alishindwa kuwapatia wapiga kura wake maji akiwa waziri leo anajipua kweli? Tunakusubiri jukwani tuone utakuja na uongo gani tena ila hufai
Back
Top Bottom