Recent content by paul thom

  1. paul thom

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Hello Dr. Habar? Nina shida for almost a month nasikia sikio likiunguruma na muda mwingine linawasha sana na hutokea sana usiku na sijui shida nini. Naomba msaada wako plz......?
  2. paul thom

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli acha kutembelea nchi masikini hazitakusaidia chochote

    Nami nakubaliana na wewe in some parts ila sikubaliana na wewe katika sehemu baadhi. Mh presda kutembelea mataifa maskini kwanza kujenga umoja wao na pia kutengeneza ujirani mwema. La pili ni kuwa Nchi maskini zaidi kuna bidhaa(products) nyingi ambazo tutatengeneza hivyo Zambia wanahitaji hizo...
  3. paul thom

    JamiiForums Tanzania Ni swali gani uliwahi kuulizwa kwenye interview likakuacha hoi?

    Umejibu vyema. Nakubaali...... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom