sas hivi elimu ya mtanzania imegeuka kuwa kufuli la maisha wala sio utaepukana na umasikin kwa kupata hiyo elimu ya nadharia. umasikn kamwe hautaisha kwa mfumo wa hii elimu
sas hivi elimu ya mtanzania imegeuka kuwa kufuli la maisha wala sio utaepukana na umasikin kwa kupata hiyo elimu ya nadharia. umasikn kamwe hautaisha kwa mfumo wa hii elimu
kama alifel kbsa akakosa crdt hata moja umaana wa kurst haupo akapge QT ila n kusoma hasa kama hakiri ya msuli hana maana binadamu tumepshana uwezo wa kufikil. Ushauri wang mtafutie fani ndo soko la ajira liliko egemea sas hv xo kutegemea kuajiriwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.