Ila kumbe kuna watu wanahitaji msaada kifikra!mnataka Tanzania iwe nchi ya watu wa ndio tu!
Huyu mzee mnataka mawazo yake ayaelezee kwa nani?
Jameni naona kuna damu inanukia kama mawazo ya watawala ndio Makonda anayafanyia kazi.
Nop! Akifanya better choices in the future anaweza kuwa na chance,japo sio lazima ije kama aliyonayo sasa.
Mimi naamini kila mtu ana nafasi ya pili.
Halafu siamini sana kama watu wamemtuma kufanya exactly alichokifanya.
Nataka kuamini watu walioko nyuma yake are a little brighter.
Nafikira...
Namjua kidogo huyu Makondo,nimesoma nae na amekuwa jirani yangu chuoni na wakati fulani rafiki.
Ni mtu ambaye wanasiasa wanaofanya desperate politics wanaweza kumuona kama chombo cha kuwasaidia.
Najua jinsi anavyofanya lobying kwani wakati fulani aliijaribu kwangu.
Style yake inaweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.