Cio dawa wata2mia jna lingne harakti zitaendlea kma kawa wazri wngu hangaika na local channel ambzo mlitangza ble leo hii 2natakiwa 2lipia ki2 ambcho kpo karbu na wananchi ni tv mna hangaika na magazeti
Wanaonekana kula kulala hao wamsha tengewa na baba zao anglia kwnza katiba inasemaje na sheria ya siasa inasema nni cio ya m2 kusema hakna kufnya mkutano kma sheria ameitunga yye bsi ana hki.
Yni kma muhamed kumuita juma wao wanaacha kuwafuata startimes local channel zte za kulpia ssa wanaacha kufuatilia vi2 vingne vinywa vyao vya local channel bre wamezibwa midomo fanyani kzi kwa usawa viongzi jamni
Serikari kwa hyu jmaa hawamuwezi hta kidgo maana hta wanashria wa serikari hyu ndo mwalimu wao inabdi wajitathimni au awapge msasa ili wajue sheria inasema nni
Muheshimiwa nimekuelewa uttezi wko ila wajifuze serikali ndo kla ki2 lazima 2fuate taratibu asa kma dr mwaka ulipewa maagizo na serikari umeyapuuza bsi haina hja ya kulalamika unahujumiwa wakti hukufuata maelekzo labda dr mwaka kwa vle na yye ana hla aliamua kuivimbia serikari bsi ni m2 wa ajbu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.