Recent content by Paul mathew

  1. P

    JamiiForums Tanzania Usinikwaze we nipe hata kama ni kibamia

    Ha ha ha Ha ha ha Sent using Jamii Forums mobile app
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mume kufukuzwa kazi kumenifundisha kuchepuka, sasa nimekuwa sugu

    Kuna siku utamuelewa tu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi kabla ya tendo wanaenda haja kubwa

    Yani hii ndio naiona tangu nizaliwe kwenda kunya kabla ya tendo loh hatari. Ipo siku watamnyea
  4. P

    JamiiForums Tanzania Imarisha ndoa yako

    Ha ha jamaa unazunguka sana hebu kuwa muwazi tu
  5. P

    JamiiForums Tanzania Bado ninakukumbuka Rose

    Aisee pole sana mkuu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa Wanaume Waliooa tu

    Umeifanya siku yangu ya leo kuisha vizuri. Hakuna jipya hata akichepuka na wanawake wote duniani.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Bado sijapata mwanaume mwenye nia

    Mimi nimemwelewa ila pia kuna wanawake ambao ni matapeli sana na kama ni laana yawezekana pesa walizowahi watapeli wanaume zimewapa laana hata ya kutoolewa kwani zile pesa zilizotapiwa na wanawake matapeli zilileta majonzi kwa familia za wale wanaume mfano : Mwanaume ametapeliwa mamilioni na...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nilivyomla kiulaini sistadu aliyewashinda wengi

    Endeleza kipaji unacho
  9. P

    JamiiForums Tanzania Najua nakosea, Ila mapenzi yamenizidi nguvu..!!

    Kwenye familia za kiafrika watoto ambao baba zao ni wa nje ninwengi sana ona hii mimba mtoto akizaliwa atamwita baba huyo wa ndani kumbe baba yake ni wewe. Safari njema katika mapenzi yako. Siajabu na wewe baba yako sio huyo unaemwita baba.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumuachia mke wako simu yako aitumie kwa siku nzima?

    Mi namwachia tu atakuja kinipa taarifa alipigiwa simu na nani na alimjibuje na SMS atanionyesha
  11. P

    JamiiForums Tanzania SABABU INAYOFANYA WANAUME WAUMIE ZAIDI WANAPOSALITIWA

    Inauma sana na unaweza poteza maisha kwa stress.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Je unaweza msamehe mpenzi wako uliemfumania ?

    Aisee
  13. P

    JamiiForums Tanzania Wanawake vumilieni kwenye ndoa zenu; mtaani kugumu

    Wanawake baadhi na hasa waliokuwa kwenye ndoa kwa mda mrefu huwa na mawazo finyu na kufikiri wakiachika wanaweza kuolewa na kuanza maisha kama yale walioishi wakiwa na waume zao ujanani, kumbe hawajui wakishaachika wakipata wanaume wengine sio wa kuwaoa tena bali ni kuwachakaza kabisa na pia...
Back
Top Bottom