Recent content by paul mahinga

  1. P

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mji wa Mecca upo katikati ya dunia?

    Hakuna sehemu yoyote nilipo kashfu dini ya mtu yeyote yule naheshimu dini ya mtu na wala siwezi kumtusi Mtu kwa sababu kaamini imani fulani kwasababu kuamini ni uamuzi wa mtu kutegemeana na alichokiamini kimemsaidia nini katika maisha yake mpaka amekiamini, huwezi kumfunga kamba mtu aamini...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mji wa Mecca upo katikati ya dunia?

    :D:D:D:D:D:D:D unafurahisha sana ndugu najisikia kukufurahia naona unaweza kuwa rafiki yangu, mimi nimeokoka Yesu ameniokoa nishauku yangu pia wewe uokoke itapendeza sana rafiki.
  3. P

    JamiiForums Tanzania RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

    hayo ndiyo mafanikio moja wapo ya mchezaji kaisaidiaje timu yake ya taifa na klabu yake. mfano kushinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia wanaangalia vitu kama hivyo pia.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mji wa Mecca upo katikati ya dunia?

    Ok mmi naomba niwashauli ndugu zangu Wana JF naomba kama masuala ya imani yametushinda kueleweshana tuyaache maana tutajichukulia laana bure, tujadili mambo mengine kabisa, mambo ya imani tuyaache kwa mtu na Mungu wake anaye mwamini.
  5. P

    JamiiForums Tanzania RONALDINHO atangaza kutundika daluga, ninakushukuru kwa niaba ya Dunia

    Naomba unikumbushe kama nimesahau Toka nymar kaanza kuchezea timu ya taifa kabeba kombe la dunia? Brazil ya neymar si ndiyo ile ilipigwa kipigo cha aibu cha 7up na timu ya ujerumani world cup tena neymar akiwa team captain, yule bwana mdogo msimfananishe na gaucho banaau unamaanisha ada ya...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mji wa Mecca upo katikati ya dunia?

    Dhihaka haifai ndugu Mungu akusamehe sana maana hujui unachokkionge ni nini, it is better kunyamaza.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

    Duuuh brother unanifanya nikaitafute hii mboga aisee
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

    mtugei update wengine tutakuwa maeneo ambayo hayaruhusu kusikiliza radio wala kuangalia TV
  9. P

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kiasi chochote cha fedha niweze kujikimu kwa muda nitafutao ajira

    Jamani wana JF huyu dada katoa maelezo ya kutosha nadhani kashaeleweka issue ni kumsaidia kama mtu umegushwa na unanafasi ya kusaidia hebu fanya hivyo maana tusiendelee kumuenjoy tu bila kumsaidia kaja kuomba msaada sio kwamba anapenda sana kutueleza matatizo yake ni kwa sababu anahitaji msaada...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

    we subiri nyie bunju si imewashinda na mo wenu.
Back
Top Bottom