Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimekuwa mstari wa mbele kutetea haki na maslahi ya mtanzania, hii ni kupitia hoja za wabunge wake bungeni, maandamano halali ambayo nguvu ya serikali huingilia kati na kuyaita haramu, vyombo vya habari na vijalida mbalimbali bila kusahau matumizi ya...