Recent content by Paul camp

  1. P

    JamiiForums Tanzania Graduates, ni halmashauri gani ungependa kufanya kazi?

    Mimi moshi (v) marangu kilema, au mbeya busokelo kijiji cha lwanga, lufilyo, au mwakalel sehemu zote zina hali ya hewa rafiki na maisha cheap sana
  2. P

    JamiiForums Tanzania Je, Sensa ya 2022 itafanyika kwa siku moja?

    Je, serikali inavyosema sensa ni tarehe 23 Agosti wanamaanisha hyo ni tarehe ya kuanza sensa au ni kwamba sensa ya mwaka huu inafanyika kwa siku moja ambayo itakuwa tarehe 23 Agosti?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri

    Yaan nataka ushauri wa hao watu wa kuwaomba mtaji sasa
  4. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kufuga samaki inalipa sana. Ila ni kwanini wengi hupata hasara?

    Mm Ni graduate SUA aquaculture naweza pata experience kutoka kwko
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri

    Asante kwa mawazo yako bro ila Ni ngumu kupata watu watano mnaoiva interest Kama kuanz kufuga nimeanza ila ttzo Bado cjafuga kama project yangu inavyotaka
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri

    Jaman mimi ni mwanafunzi wa SUA nimeandaa project plan ya ufugaji was nguruwe ila Sina mtaji naomba mwenye ushauri wa wadau wa maendeleo (stakeholders) ambao wanaweza kunisaidia kupata mtaji naombeni ushauri wenu tafadhali eneo tayari ninalo tatizo ni mtaji wa kununua chakula Cha hao nguruwe na...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Used au mpya mkuu??
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Mm nauza infinix hot 8 lite 210
  9. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta wadau tushirikiane katika kilimo na ufugaji

    Mimi nikodishie banda la nguruwe
Back
Top Bottom