Mkuu potential Ideas tunazikaribisha kwa mikono miwili, na hizo ndizo zitakazokuwa stori/makala za kuanzia endapo tutafanikiwa kupata mtaji, nakuomba endelea kuziandaa.
Siyo wote wanaochangia makala na habari kwenye magazeti ni waandishi waliosomea, cha muhimu hapa kutakuwa na Editor na...
Chimbuvu, mdau uliyenikokotolea hiyo hesabu nimefurahi sana, hiyo faida baada ya kutoa kodi sh. 885,600 kwa maoni yangu ni reasonable kabisa pamoja na kuwa mishahara tutabana sana hata sisi wenyewe wamiliki itatubidi kwa kuanzia tutumie mifukoni mwetu, hiyo 190,00 nadhani ni kwa distributor...
Okay! Nitakucheki kupitia email uliyonipa, ila kuhusiana na hao other shareholders, ni kama hawapo kwani business ilikuwa ya kwangu mwenyewe, niliwashirikisha tu wenzangu katika kusajili gazeti hasa cv zao kama waandishi, hawakuwa wakurugenzi kisheria japo walitoa michango ya hali na mali hasa...
Mimi hasa nimebase katika habari na makala za Utambuzi,saikolojia na maendeleo lakini kama ujuavyo mwandishi uliyejifunza kazi ya uandishi wa habari unaweza ukaandika habari nyingine yeyote ile. Gazeti lilikuwa likiandika makala na habari za Utambuzi, saikolojia, maisha na burudani. Sababu ya...
Ichukulie Dunia kama chungwa au mpira, kisha weka alama pointi unayotaka kuanza kutoboa shimo lako. chukua msumari au chuma kirefu halafu utoboe mpaka upande wa pili. Pale msumari utakapotokeza basi hamna tofauti na Dunia yetu ilivyo.Inawezekana ukatokeza nchi nyingine yeyote kutegemeana na...
Gazeti lililosajiliwa kila kitu, liliwahi kuwa mtaani matoleo matatu likasimama, makadirio ya sh. Milioni 5 au 6 zitatosha. Kama una nia ya kuwekeza katika biashara hii, nijulishe tupange, mimi binafsi ni mwandishi wa habari. Wasiliana na mimi kupitia baruapepe: paulmak@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.