Ili pressure ya baadhi wanaokusudia kugombea nyadhifa cdm zishuke ni budi Zitto asiwe miongoni mwenu. Mungu ndo anajua nia ya kila mmoja wenu ktk roho zenu. Viongozi wa kiroho mlio ktk ngazi za juu za chama, Mungu anasema sameheaneni. ............,msihukum ,kama kuna dhambi Zitto alizo tenda...
Watakatifu ndo wanaotakiwa chadema ili mwisho wake watupeleke mbinguni cc waovu. Wasio na dhambi ni chadema, fukuza mwovu Zitto ili mpate thawabu za wa Tanzania .
Mshahara wa dhambi ni mauti . Zitto anafukuzika ila madhara yake ni makubwa sana.Acheni kujidanganya, mfukuzeni Zitto muone. Viongozi wa takaosalia ni watakatifu sana watatufikisha mbinguni.
Ni kweli hata aliye na mume bado anahitaji kupendwa na wanaume wengine, hapo Ndo usaliti unapoanzia yaani ni mateso na pressure tu, ulimwengu huu, ama kweli umetawaliwa na shetani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.