Nimeshangazwa na kumkubali sana leo Job ndugai hakika kaonesha weredi wa hali ya juu mara ya kwanza tokeni kwa hiari yenu mara ya pili mara ya tatu aah jamaa wakatoka aisee mi nilidhani watakomaa mpaka mwisho yule mwanaume kaunguruma pale akina mbowe na tundu lisu wamekimbia aisee...inaonekana...
Nyii wazee pumzikeni hii nchi ni kubwa ntafurahi sana kama mary naguu,anna abdalah wapotezwe kabsa tunataka watu wapya hawa watu mimi toka nikiwa darasa la tano hadi leo na degree mbili adi mwanagu leo anamwita lowwasa luwasa na magufuli anamwita maguguli wapo?jamani hamchoki?hii nchi yetu wote...
Nilishangaa nilivyokusikia ukisema jina lako likikatwa safari hii utaenda mahakamani kukishitaki chama chako hukujua kwamba Mangula,Kinana,na JK wanakusikia?huwezi kua na huo ubavu mbele ya hawa wazee ulionekana unatafuta ajira na si kuwatumikia wananchi.sasa kaa kimya usiongee tena labda...
mbona walioshinda wote Uvccm viti maalum ubunge ni mabinti wa Vigogo wote sita 1.bulembo.2.kiziga.3.ditopile.4.katimba.5.mzindakaya.6.masaburi. sasa yeye kuomba mwanae nae awekwe kwenye list mnasema hakufata utaratibu mkamkatalia ndo maana kahamia chadema acheni uongo hao apo walioshinda watoto...
Waongo wakubwa mbona watoto wavigogo wengine waliwasikiliza iweje huyo hakusikilizwa au nafasi za vigogo zilikua zimejaa maana hao wote walioshinda sita ni watoto wa vigogo sasa iweje na yeye asitake huo mtelemko
Kweli hawa wazee wanakiua chama cha mapinduzi nilikua dodoma kwenye uchaguzi wa Uvccm viti maalum ubunge niliyoyaona sijaamini macho yangu ni rushw..na watoto wa vigogo tupu wamekifanya chama cha mapinduzi ni taasisi ya watu fulani za familia furani na sio chama cha watanzania umafia nimeona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.