Recent content by Patrick Girigo

  1. Patrick Girigo

    Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali

    Nampongeza sana Pasacl Mayalla, ni mtu mwenye IQ kubwa sana na kuweza kuelewa anachosema inabidi uwe umepata A au B kwenye somo la Constitutionalism and Legal Systems of East Africa; Kwetu sisi akina Shivji wadogo tunamwona kama Mchochezi na atakiwa kupingwa kwa nguvu ya HOJA, ameonyesha...
  2. Patrick Girigo

    Makosa makubwa ya mswada wa TISS. Sehemu ya 2

    Mhe Yeriko naomba nami niweke tofauli langu kwenye hili jambo la kuwekeana KINGA, Kwa kurejea Jurisprudence ya Common Laws, Commonwealth precedents, Mkataba wa Haki za Binadamu wa 1948 na Katiba ya Tanzania ibara ya 13 kila mtu anahesabiwa hana HATIA hadi hapo Mahakama itakapothibitisha kinyume...
  3. Patrick Girigo

    Wakati wa uongozi Profesa Juma, Mahakama ilishindwa kusimama na wananchi dhidi ya udhalimu wa awamu ya 5

    Nampongeza kwa Utumishi wake, amejenga majengo mengi ya Mahakama ila Mwenye any landmark Case with its Judgement or with of full bench sitting together, I read his books on the Law of Evidence Act at University, but I have not yet crossed his pen to any relevant Judgement setting a Present for...
  4. Patrick Girigo

    Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

    JE TAMISEMI ni Union Matter,maana msingi wetu wote lazima iwe Katiba yetu, mambo ya Muungano ni yanajulikana, Je kwani TAMISEMI ni issue ya Muungano ?
  5. Patrick Girigo

    Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

    Unao uhakika kama amepumzika au anapambana Toharani/progutory, so anahitaji maombi ili apunguziwe adhabu?
  6. Patrick Girigo

    Namuona Shaka Hamdu Shaka akienda kumsaidia Rais wetu Samia Serikalini

    Kwa mujibu wa KATIBA yetu ya 1977 TAMISEMI sio miongoni Union Matters na ibara ya 55 inasema kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano LAZIMA awe Mbunge wa kuchaguliwa JIMBONI, kwa msingi sioni nafasi ya SHAKA kuteuliwa kwa namna yeyote labda KUMWONDOA MBUNGE wa kuteuliwa ili naye ateuliwe kama...
  7. Patrick Girigo

    Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

    Kuna wakati fulani aliyekuwa Rais wa awamu ya 3 wa Tanzania Late BW MKapa aliwahi kuuliza, kuna wenye SERA Mbadala? Kukosoa tu bila kuja na sera mbadala ni kukosa shabaha........nadhani wanaosema VX V8 ni ghali kwa aina ya uchumi wetu, wangependekeza model nyingine mpya ya kuepukana na gharama...
  8. Patrick Girigo

    Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

    Mtu wa kawaida kumwelewa Pascal Mayala sio rahisi ila wale ambao ni gifted wanampata sawa sawa kabisa. Kwenye elementary of economics kuna dhana 2 za muhimu sana, Rsource are always scarce but needs are unlimited halafu kuna opportunity Cost-the forgone choice. Sasa sijui kama Pascal alimaanisha...
  9. Patrick Girigo

    Afrika tuna shida sana, Kiongozi gari ya milion 600?

    Mtu wa kawaida kumwelewa Pascal Mayala sio rahisi ila wale ambao ni gifted wanampata sawa sawa kabisa. Kwenye elementary of economics kuna dhana 2 za muhimu sana, Rsource are always scarce but needs are unlimited halafu kuna opportunity Cost-the forgone choice. Sasa sijui kama Pascal alimaanisha...
  10. Patrick Girigo

    Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

    OMO like other trained lawyers is very smart in articulating issues; he never miss a word to the audience. He is speaking from both experience of work and legal mind. While referring to article 98 of UCRT, dictates on majority rule in the house. Our country was founded up in good faith unlike...
  11. Patrick Girigo

    Dkt. Bashiru anaweza kuondolewa Bungeni kwenda kulitumikia Taifa sehemu atakayokuwa huru kutumia taaluma yake?

    Nampongeza Mwandishi wa aya hii kuhusu Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuweza kuondolewa Bungeni, isipokuwa naomba kutofautiana naye kwa HOJA za Kisheria na KIKATIBA kama basi katiba inafuatwa.. Kwa Mwanafunzi yeyote wa sheria aliyemaliza somo la LW 102 Constitution and...
  12. Patrick Girigo

    Ikibidi nitaacha Utumishi wa Umma ili niendelee kuwa huru

    Mwiba hutokea pale ulipoingilia, haijawahi kutokea kwenye sheria za Utumishi wa UMMA mtu kuwa Diwani, Mbunge halafu akaenda kuwa MTENDAJI/mtumishi wa Umma kwa sababu Diwani/Mbunge Kazi yao ni KUISIMAMIA SERIKALI bila kujali ni ya Mtaa au ni central Gvt, kuanzia 2016 hadi 2020 kulitokea UVUNJIFU...
  13. Patrick Girigo

    Askofu Bagonza: Lissu amekosea kueleza in details alichoongea na Rais, akiendeshwa na mashabiki

    Kwa kuwa Askofu ametoa maoni yake bila kuyajenga kwenye msingi ama wa kisheria,Kikatiba au Kibiblia, anaweza kuwa ana HOJA iliyojificha ndani ya nyama au mifupa ila itoshe kusema kwamba MAMA ni Mama na ameonyesha ROHO ya huruma, upendo na Kujali; Yeye atakuwa anajua reactions ya kukutana naye na...
  14. Patrick Girigo

    Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

    In criminal law unlike in Politics, confession is used as an evidence to convict you upon all accusation raised unto you, but in Politics confession is a measure of strength and maturity. As it was said by political gurus, if you lack HONEST, intelligence and Energy looses their meaning
Back
Top Bottom