Recent content by Patra31

  1. Patra31

    The true religion of GOD is Islam

    hapa kuna kitu umekisahau. uhuru uliopitiliza na uhuru uliobanwa. ndio maana raia wengi wa nchi za kiislam wanakimbilia kwenye nchi za kikafiri kufata hizo zambi maana nchini mwao hawawezi kuzifanya kwa uhuru. mi nahisi ungeonesha ubora wa dini kwa kigezo cha maandiko na sio watu, maana hicho...
  2. Patra31

    Hii nafasi ya Makamu wa Rais, mbona huwa tunaletewa watu wa ajabu sana?

    nahisi majukumu na ukomo wa majukumu yao ndio unawafanya wawe hvyo, pia swala akiongoza simba itabidi simba wawe kama swala tu
  3. Patra31

    Udalali wa kuunganishia wanaume/wanawake wenza siku hizi umeshamiri sana mjini. Chanzo ni nini?

    shida kubwa ni kuwa miaka hii ya karibuni vijana [watu] wengi hawana social skills kwaiyo ata kutongoza/kutongozwa imekuwa changamoto. pili upendo kupoteza thamani na ngono kuwa bidhaa
  4. Patra31

    Mliokuwa nje ya Dar naombeni connection nipate binti mwenye maadili wa kuoa

    bahati mbaya siku hizi wanawake wa mikoani hawana tofauti sana na wa dar. kwaiyo kuwa makini usije jichanganya
  5. Patra31

    GE2025 Kama kupiga kura tunahimizana hivi. Je, 2030 hali si itakua mbaya sana?

    umemaliza hili ndio jibu. sio 2030, wenda mambo yakawa magumu kuanzia 2029 kwenye uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa na vijiji. NB: nahisi tu lakini
  6. Patra31

    Ni miaka zaidi ya 60 tangu tupate uhuru, ila ni kama hatuna uhuru

    shida taifa limejaa wananchi waoga, wanafiki, na wasio na akili
  7. Patra31

    Ulikutanaje na rafiki yako ambaye kwa sasa ni kama ndugu yako

    nikiwa secondary [o level] 2010 nilikuwa na kaa karibu yake alaf alikuwa mtu wa dini kweli wakati mm sipo huko kabisaa ila baadae alikuja kuwa mtu wangu wa karibu zaidi. 2021 nilienda kutest kijiko/loader sehemu huku siijui nikamkuta anatinga/ anafanya kazi kwenye mashine niliyoenda kutest...
  8. Patra31

    Nauza hivi vitu

    weka picha
  9. Patra31

    Mambo muhimu kwa mwanamke unapoolewa

    mshirikishe mmeo kwenye sala/dua zako.
  10. Patra31

    Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

    nipo huwa napita kimya kimya tu
  11. Patra31

    Hii imekaaje hii? Maana ni kama Sijaelewa aisee

    labda switching ID = switching personality
  12. Patra31

    Mwanamke akikuweka Mkao huu, Jua umekwisha🤣🤣

    watu wakifurahia moments zao mnasema wameanza kutawaliwa. huo ni wivu
  13. Patra31

    Msaada: Kujua majina ya viungo hivi kwa SWAHILI

    Mm sijui kiswahili chake kwa kweli
Back
Top Bottom