Recent content by Patasote

  1. P

    JamiiForums Tanzania msaada namna ya kuconnect jamiiforums via tapatalk

    Jamiiforums haipo kwenye Tapatalk Jaribu kudownlaoad Jamiiforum app PlayStore https://play.google.com/store/apps/details?id=com.quoord.jamiiforums.activity
  2. P

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Bia na Viroba

    Haya chale.....mimi nakusudia kiroba cha Konyagi
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Bia na Viroba

    Wakuu nataka nijue tofauti ya hivyo vitu viwili (Beer Na Viroba) pamoja na madhara, faida ya Afya n.k kwa wataalam wa mambo haya
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kwa Website za Forum

    Yaszone ndie Admin wa RafikiForums.Tk
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kwa Website za Forum

    Kuendelea kwa Website za Forum kunapelekea Uendeleaji wa Technologia ya Internet Tanzania sasa,Na hatimaye nimetokezea kupenda mfumo huu, na sasa wapsite mpya ya forum imetoka ya friend wangu, Chekini hii Rafikiforums.TK ipo bomba kishenzi!
  6. P

    JamiiForums Tanzania Software ya kutengeneza video/movie

    Ahsanteni Wakuu,nimeenda Youtube Nikaangalia Video Za adobe premiere Ni nzuri.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Software ya kutengeneza video/movie

    Duh naombeni msaada wenu JF
  8. P

    JamiiForums Tanzania Software ya kutengeneza video/movie

    Wakuu naomba tusaidieni kwa hili. Ni ipi software nzuri ya kutengeneza video na ku-design kama wanavyo design Kwenye TV like.. EATV, STAR TV etc.. Wakuu nisaidieni please!..
  9. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeza Website Kama Jamii Forums

    Basi Bora Niendelee na Hii hii wapsite zangu nimetengeza bureeeeeee! Check this http://sixcenter.tk
  10. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeza Website Kama Jamii Forums

    Sawa Mkuu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye Opera Min jukwaa la siasa.!!!!

    Opera Ni Ya Pc Na Opera Mini ya simu
  12. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeza Website Kama Jamii Forums

    Je Mfano Kama Unazijua Utaanzia Wapi kwenda Kuzitia hizo Javascript Code Na Php?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeza Website Kama Jamii Forums

    Nisaidieni Please Wakuu!
  14. P

    JamiiForums Tanzania naashindwa kulog in JF kupitia simu

    Yaani UNAtumia Operamini au Web?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeza Website Kama Jamii Forums

    Jamaa Tusaidiane,Hivi JF imetengezwa Vp?Au Kupitia software gani?Nisaidieni Please!
Back
Top Bottom