Atafanya juu chini kuhakikisha hiyo nia yako njema inatimia. Watu wengi wanateseka kwa sababu wameingia katika nyumba za sala lakini hawako siriasi na Mungu kama anavyotarajia. Hivyo wengi wameachwa wajiendee wanavyotaka.
Mifano ya watu waliokuwa na usiriasi na Mungu hata kama hawana uhakika...
Mke wa Musa sio Musa.
Hesabu 12:1
Kisha Miriamu na Haruni wakamnenea Musa kwa sababu ya mwanamke Mkushi aliyekuwa amemwoa; maana, alikuwa amemwoa mwanamke Mkushi.
Kushi~Ethiopia.
1: Mwanamke Zipora
Alikuwa mke wa kiongozi bora wa taifa la kiyahudi, Musa. Alikuwa mweusi. Ushauri wake uliongeza ufanisi wa wayahudi. Baba yake Alikuwa na akili kuliko Musa. Yeye ndiye alimfundisha ugatuzi wa madaraka Musa na Mungu akamwambia Musa aufuate asiupotezee ushauri wa baba mkwe..
2...
1: Usimpe nafasi kwa kumtajataja na kumzungumzia. Tumia muda mwingi kumzungumia Mungu na uweza wake. Mtoe kabisa akilini na kwenye fikra zako mjaze Mungu badala yake.
Waefeso 4:27
wala msimpe Ibilisi nafasi.
2: Mpinge. Usiunge mkono juhudi zake. Ukiona anakufatafata na kukusumbuasumbua ni...
1: Maombi yatakufanya uangalie mambo kama Mungu anavyoaangalia sio kama watu wa kawaida wanavyoona. Hivyo huamasisha uthubutu.
Mwanzo 18:14
Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA?
2: Maombi yatabadilisha mtazamo wako juu ya ukubwa na ugumu wa lengo lako. Yatakufanya uone inawezekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.