Binafsi sioni sababu za Zelensky kuendelea kuishukuru Marekani, wakati amefanya hivyo mara nyingi. Tena kipindi hiki Ukraine yuko kwenye wakati mgumu sana, kwa kuzingatia kwamba:
1. Trump ameweka wazi kwa zelensky kuwa hawawezi kuungana na NATO.
2. Trump na watu wake wameweka wazi kama kuna...
Shirika hili nalo lnjaa tu!!
Toka limeanzishwa mwaka 2018, hakuna wanachofanya. Shirika hili limejaa politics , leadership gaps and undestaffing all over.
Sahihi kabisa, TCRA ndio wameweka hii miongozo,.
Miezi 3 ni michache sana, mtu unasafiri unaenda nje ya nchi miezi mitatu unakuta namba yako haipo tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.