Recent content by Pasta Joshua

  1. Pasta Joshua

    Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwako

    Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwako. Kila utakapopita nalo utakutana na watu wanaojitapa kulijua vzr kwa sababu walipata kulitumia; wapo watakaoelezea namna walivyokuwa wakiliburuza kwa mwendokasi, wengine wakijinasifu walivyoliendesha kwa mitindo mbalimbali
  2. Pasta Joshua

    Dini za wakoloni

    Umeona sasa hapa wewe ni muislam tayari ushachagua upande hizi dini ni za wakoloni hakuna bora Kati yao
  3. Pasta Joshua

    Dini za wakoloni

    Umeshawahi kujiuliza ni kwanini waliotuletea ukoloni na kutuuza utumwani ndio hao hao waliotuletea dini ? Walitufundisha kusali tukiwa tumepiga magoti na tumefumba macho ,tulipofumbua tulikuwa na biblia na msaafu mkononi ,wao wakiwa na rasilimali zetu. Walitufundisha ukondoo wa kukubali hadi...
  4. Pasta Joshua

    Kwanini watu wengi wanatamani kupata Ubunge

    Kazi haina KPI, haina immediate supervisor, haina biweekly report. Huitajiki kufika eneo la kazi saa 1:30 asubuhi. Hakuna anayekupigia simu kukuuliza lolote. Mshahara mnene na marupurupu kibao. Baada ya miaka mitano, unakunja milioni 500. Nionyeshe kazi gani bora kuliko hii.
  5. Pasta Joshua

    Kiasili koo za Kiafrika hazilindwi na malaika, bali na wanyama mwitu wa kimizimu

    Kiasili koo za Kiafrika hazilindwi na malaika, bali spiritual animal "wanyama mwitu wa kimizimu" Kuna koo zinalindwa na simba, fisi, chui, majoka na nyuki n.k. Wanaokuroga usiku hawakufikii mpaka wapambane na mnyama huyu. Ukimfahamu ukafanya mila za kwenu, anatokea na kuambatana na wewe daima...
  6. Pasta Joshua

    Sisi waoga

    #Tukubaliane Sisi watanzania ni waoga Sisi watanzania tukitishwa tunakimbia, Sisi watanzania tunataka amani, Sisi watanzania maswala ya kuvutana hatuyajui, Sisi watanzania kipaumbele chetu maelewano. Yes nakubali, Ila round hii watanzania lazima tuelewane, iwe ni mwanasiasa mkongwe, msani...
  7. Pasta Joshua

    Njia pekee ya kuwanyima upinzani nafasi ni kutekeleza mahitaji ya wananchi

    Njia pekee ya kuwanyima upinzani nafasi ni kutekeleza mahitaji ya wananchi, sikiaeni hoja za wapinzani mzifanyie kazi wakose hoja lakini hii kamata weka ndani kuna siku itakua mbaya.
  8. Pasta Joshua

    Nchi nyingi Afrika hatuendelei sababu ya wizi uliokubuhu, wengi wanaokabidhiwa vitengo wanafilisi serikali

    Waafrika hatuendelei sababu ya wizi, wengi wanaokabidhiwa kitengo wanafilisi serikali. Vivuko vya kigamboni vimetushinda, magari ya mwendokasi yametushinda, reli ya tazara imetushinda wamepewa wachina waendeshe miaka 30. Tusijifiche kwenye mwamvuli wa dini, sisi wengi ni wezi, wala rushwa.
  9. Pasta Joshua

    Kwa dunia ya sasa, ni vigezo vitumike kumfahamu mke mwema?

    Kwa sasa hivi dunia ilipofika Naendelea kutafakari category za kupata mke mwema maana zimebadilika. Sasa hivi kuna Washing machine kile kigezo cha kujua kufua sio muhimu zama hizi🫵 Sasa hivi kuna Rice cooker,dish washer na makorokoro kibao ya kisasa yanayomfanya Mwanaume kupunguza utegemezi...
  10. Pasta Joshua

    Jifunze aina 3 za watu kwenye maisha yako

    Katika maisha kuna aina nyingi za watu , leo nitakupa aina tatu za watu ambazo zinaweza kuwa msaada kwenye maisha yako kwa namna moja au nyingine. 1.Leaf People (Watu Majani). Hii ni aina ya watu ambao wanakuja kwenye maisha yako kwa kipindi fulani tuu. Hawa ni watu ambao hautakiwi kuwategemea...
  11. Pasta Joshua

    Siri nzito kuhusu unyayo wako hapa ukiweza tu basi unafanikiwa hakika ni muujiza

    Siri nzito kuhusu unyayo wako hapa ukiweza tu basi unafanikiwa hakika ni muujiza Mwanadamu ni kiumbe mwenye siri nyingi na ambaye pia ameumbwa na siri nyingi Unyayo wa mwanadamu ni waya wa kiroho unaobeba fadhila za dunia na kuziingiza ndani yetu kimwili na kiroho. Kumbuka unyayo ni sehemu ya...
  12. Pasta Joshua

    Rejea kale🫵

    Watu wengi wa kale waliamini kuwa vitu vya asili kama miti, mawe, mito, jua, mwezi, na wanyama vilikuwa na roho au nguvu za kiungu. Jamii nyingi ziliamini kuwa roho za mababu zao zilikuwa na nguvu na zilihitaji kuheshimiwa ili kupata baraka au kuepuka maafa. Skuizi mnasali kwa Ai,saaa Zingine...
  13. Pasta Joshua

    PreGE2025 Freeman Mbowe: CHADEMA nipo, nitakuwepo na nitagombea. Anayetaka kugombea tukutane kwenye sanduku la kura

    Mbowe kasema mara kadhaa kazi ya uwenyekiti haitaki,inamtia hasara,inamchosha,inamueka mbali na familia,inamfanya atukanwe....ila ndio hio ANAFANYA KILA LIWEZEKANALO KUBAKIA HAPO😁😂🤣
  14. Pasta Joshua

    Smart Business

    Religion is a smart business idea. They sell an invisible product, and if it doesn’t work, they blame the customer.
Back
Top Bottom