baada ya kada wa CCM kusema vyombo vyote vya dola ni mali ya chama ni uthibitisho kuwa walimwaga damu za watanganyika tarehe29.
hapo ndipo umuhimu wa katiba mpya unapokuja ili kuimarisha utawala wa kisheria.damu za watu itawaangusha CCM.
kamati ya mwakiyembe ilitoa ushahidi wa kuwepo kwa mashirika ya aina hiyo na idadi ya recruit.Mimi na familia yangu tunajilinda kwa hiyo hiyo laana haiwezi kutupata.Naona wewe unataka kupinga ukweli kuwa hali ni mbaya au unataka wengine waharibikiwe kwa sababu wewe umeshindwa kulinda?ukweli ni...
anayetakiwa kufanya utafiti kuhusu hayo mashirika ni vyombo vya serikali kwa sababu ndo wanaowapa ruhusa ya kufanya kazi zao.kwa hiyo kuwepo kwa hayo mashirika inamaana serikali imefeli.
Vyombo vya usalama vya Tanzania Wapo makini kuilinda serikali inayoua watu wake na kufanya uchafu mwingi lakini vimeshindwa kuilinda nchi.
NB.hali sio nzuri "YOU BERA WATCH YOUR BACK"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.