Kwa sasa napatikana iringa mkuu, japo nia yangu ni katika eneo tajwa nimefanyia shughuli hizo maeneo hayo na kupata uzoefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima kwenu,.
Kama kichwa kinavyosomeka, nina ombi kwa yeyote anayeweza kuguswa anisaidie mtaji kwa njia ya kufanya kazi ya pamoja kwenye kilimo au ufugaji, hasa nyanya na kuku, kipaumbele kikiwa ni mikoa ya dar es salaam, pwani na mtwara(maboresho yanaweza kufanywa ikibidi).
Binafsi nakosa...
Salamu kwenu nyote. Kama mada ilivotambulishwa, nina ukakasi wa kuamua kuishi mjini au kijijini, hasa katika kipindi ambacho nataka kutulia sehemu moja itakayokuwa makazi yangu ya kudumu. Mimi ni mwajiriwa serikalini.
Tafadhali karibuni kwa michango yenu pande zote mbili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.