Recent content by Paschal William

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Moto unaweza kuzimika ata kwa upepo wenyewe.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ni sheeedah!!!

    Teh. . teh. . .teh. . .teh. . .teh. .
  3. P

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    hahah tatizo mmefaulu wengi. . .ila zitatoka tuu kama vip mtaenda jesh kwanza
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    Afya ya binadam aitheee
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    sawa sawa nimekupata kiundani zaid shukran kwako
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    Sawa shukran kwako.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    Matokeo yangu haya hapa Civ-B Hist-C Geo-C Kisw-B Engl-B Bios-B Physics-C Chem-B Math-C GPA 3.2
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    Kweli kaka coz ukichek ata naivo nashukuru tokeo limekuja vizur tuu na ntatake ur advice mkubwa
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    aha sawa sawa mkubwa
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    Aha shukran. . .chuo gan icho unapiga aixe
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    ni kweli kabisa ndugu ndo naomba unisaidie ambavyo unavijua vipo vizur kwa kujiunga
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    Shukran kwako Ndugu. . .
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    Wakubwa naomba kujulishwa na anaefaham vyuo vizur vya afya coz nimemaliza form 4 2014 na naitaji kujiunga na CHUO vizur ukinitajia jina na mahali kilipo. Naomben msaada wenu wakuu.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mtihani kidato IV Jumapili

    Matokeo kutangazwa JUMAPILI. Hiyo ni nyota njema na bora wayatoe tujue tunachopaswa kufanya na tumevuna nini.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kipi bora, kujiunga chuo au kidato cha tano?

    mulize anachotaka yeye unaeza mpeleka chuo au advance pia bado akaleta utani
Back
Top Bottom