Recent content by Paschal Vedastus

  1. Paschal Vedastus

    CCM Yamshambulia vikali Joseph Warioba

    Katika maswala muhimu Kama haya tuchunge ndimi zetu si kurushiana Maneno. Hivi jamaa na Mzee wetu Warioba nani anauzoefu na inchi hii!!
  2. Paschal Vedastus

    UROPOKAJI wa NAPE sababu ni kuzaliwa kwenye mbio za MWENGE au hakufundwa na Wazazi?

    Do waswahili walisema ukubwa wa pua si wingi wa makamasi
  3. Paschal Vedastus

    Lowassa: Kikwete, unda Tume kuchunguza Matokeo mabaya ya Kidato cha Nne

    Mh Lowasa amesema lakini.. Kabla ya kusema ni vizuri kukuuliza! Hv hapa kwetu Tanzania tatizo la Elimu limeanza Leo? Jibu ni rahisi tatizo alijaanza Leo ila limekuwa likienda na kukuwa. Je tatizo alijulikani? Tatizo viongozi wanalijua kwani wasomi na wanazuoni wameisha eleza nini tatizo na nini...
  4. Paschal Vedastus

    LIVE: AC Milan VS Barca...World successfully VS World entertainer

    Jamani ndo mpira ulivyo, ebu tusubiri newcamp
Back
Top Bottom