Recent content by Paschal Mlelwa

  1. Paschal Mlelwa

    Nimelala na mwanamke kitanda kimoja usiku kucha ..........

    Huyo mwanamke anapepo la ngono 100% na kama unabisha endelea na uwe muaminifu kushare siku tano zikiisha. Na wewe pia nakushauri uokoke maana na wewe una shida. Ndoa na iheshimiwe na watu wote. Umeshindwa kuiheshimu ndoa yako kwa kumvulia mwanamke mwingine utupu wako tena ukampa na kifua...
  2. Paschal Mlelwa

    Sipendi kuona mume wangu anakosa hela, huwa nampa hela, je inatokea kwa wanandoa wote?

    kwanza nikupongeze kwa kujua wajibu wako. Ila jitahidi sana kuepuka kujiona kuwa hizo ni zake na zile ni za mumeo badala yake ona kama akaunti yako ni yenu na biashara yake ni yenu pia. Usiwaze tena kuhusu utofauti. Ndoa yenu itadumu sana. Kuhusu swala hilo kutokea kwenye ndoa nyingine...
  3. Paschal Mlelwa

    Kesi za kuzuia uchaguzi TLS zatupiliwa mbali na Mahakama Kuu, uchaguzi uko pale pale

    Nafikiri haya yanayoendelea kuhusiana na kukamatwa au sijui kuwekwa kizuizini kwa Tundu Lisu yanahusiana moja kwa moja na uchaguzi wa TLS...ni hatari,,,
Back
Top Bottom