Recent content by Paschal Kibassa

  1. Paschal Kibassa

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo kutatua tatizo la Dollar Tanzania

    1) Tuzalishe zaidi na tuuze nje 2) Tupunguze kununua nje hata vitu vinavyoweza tengenezwa nchini 3) Elimu itolewe watu wapende vitu vya Tanzania. 4) Makampuni ya huduma ya nje yafanyayo kazi hapa nchini yawe na account za dollar hapa hapa na yalipiwe kwenye account hizo. 5) Kuwe na uratibu wa...
  2. Paschal Kibassa

    JamiiForums Tanzania Kesi ya wananchi dhidi ya Serikali kuhusiana na suala ya bandari kuanza kusikilizwa Jumatatu 3th Julai 2023 Mahakama Kuu Mbeya

    Ahsante waonyesha njia, je, kesi hii itaweza kurushwa live ili na tulio mbali na Mbeya tushuhudie siku hiyo ya Jumatatu?
  3. Paschal Kibassa

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Spare mpya za Magari ya Kijapani

    Una mswaki wa Toyota Kluger? ni bei gani?
  4. Paschal Kibassa

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sijaona kwenye Mkataba sehemu inayosema Bandari inakodishwa kwa miaka 100

    Kwa masilahi ya nchi mkataba huu ni batili
  5. Paschal Kibassa

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame kuanza ziara ya siku 2 Nchini Tanzania

    Nadhani moja ya mambo ayoijia hii reli ya SGR, kipande cha Isaka - Kigali.
  6. Paschal Kibassa

    JamiiForums Tanzania Msaada nasumbuliwa na tatizo la ganzi

    Mgonjwa, kama upo Dar; fika kwenye ibada za Mtume Mwamposa kawe. Bila shaka utapona.
  7. Paschal Kibassa

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya baadhi ya wahudumu wa sheli kuzidisha mafuta imekaaje?

    Mamlaka husika zipitie calibration ya pampu za mafuta vituo vya stopover Dar, huenda twapimiwa hewa!
  8. Paschal Kibassa

    JamiiForums Tanzania Je, ungependa nini kiwemo kwenye Katiba Mpya? Mimi napendekeza Ruzuku ya Vyama vya Siasa iondolewe!

    Dira ya taifa na mambo yote ya kipaumbele kwa nchi na watu wake vitamkwe wazi wazi kwenye katiba. Vyama vya siasa wakati wa uchaguzi, vijinadi jinsi ya kutekeleza vipaombele hivyo vilivyo ndani ya katiba badala ya kila chama kuwa na ilani ya uchaguzi.
  9. Paschal Kibassa

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Ujenzi wa bwawa la Umeme ni mradi wa ovyo kabisa, tulipaswa kuimarisha Miradi ya Solar

    Kwa hili la kukosoa mradi wa bwawa la Nyerere; Bw. Lema kakosea sana. Awatafute wataalamu wa Hydropower watampa ABC za kuwa mradi huu.
  10. Paschal Kibassa

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kutoka Geita mpaka Wuhan - Stori ya kweli

    Ninalikumbuka jiji la Wuhan eneo la kati ya China. Si mbali sana na three gorges hydropower station kinacho zalisha umeme wa zaidi ya 22,000MW
  11. Paschal Kibassa

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Naomba simu yako mkuu
  12. Paschal Kibassa

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

    Ni mzuri kwenye maswala banking
  13. Paschal Kibassa

    JamiiForums Tanzania TAA: Hakuna ajali ya ndege ziwa Victoria, yasema ni zoezi la utayari

    Wamejipanga namna hiyo! Hayo ni mazoezi.
  14. Paschal Kibassa

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba Arusha ya kupanga

    Vemyangu wi mwanani? Ahsante sana twilumba. Nina kajumba pale Dampo
Back
Top Bottom