Recent content by paschal Burra

  1. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA fursa iliyopo wazi kwa sasa ni kuwatumia wafuasi wa hayati Magufuli kujiimarisha zaidi kwa ushindi wa 2025 huu ndio mtaji wetu mkubwa kisiasa

    Wewe utakuwa vyeti feki uliyetumbuliwa hadi leo huamini hakuna ajira kwa wenye vyeti feki
  2. P

    JamiiForums Tanzania Genge la mwendazake hawaamini Samia Suluhu angefika hapo alipo wana chuki balaa

    Bila Magufuli mama samia asingekwaa urais aliyemchagua makamo ni nani?
  3. P

    JamiiForums Tanzania Genge la mwendazake hawaamini Samia Suluhu angefika hapo alipo wana chuki balaa

    Vipi kauli ya rais samia aliposema viatu vya Magufuli havinitoshi? Leo unasema magufuli hajafanya kitu tupunguze mihemko na chuki tusimamie ukweli
  4. P

    JamiiForums Tanzania Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

    Hivi chadema hata hawaeleweki wanachokipigania ni nini?
  5. P

    JamiiForums Tanzania BBC: Shehena ya makombora 1,500 ya Kutungulia ndege aina Strela na Bunduki 100 MG3 zimewasili nchini Ukraine

    Wajaribu tu kumsaidia Urusi na wenyewe wapigwe vikwazo
  6. P

    JamiiForums Tanzania BBC: Shehena ya makombora 1,500 ya Kutungulia ndege aina Strela na Bunduki 100 MG3 zimewasili nchini Ukraine

    Huo mzigo unatakiwa ukifika Ukraine raia na wanajeshi wagaiwe saa hiyo hiyo ukiuweka stoo urusi wataulipuwa
  7. P

    JamiiForums Tanzania Urusi yasema imekamilisha Awamu ya kwanza ya operesheni yake Ukraine, yakiri kupoteza wanajeshi 1,300 vitani!

    Putin hakutegemea upinzani aliokutana nao amepata asichokitegemea wakumekufa majeneral 7
  8. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba ana "traits" za kuwa Rais baada ya Samia. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

    Amekulipa shilingi ngapi uje umesemehe huku jf
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

    Siulisema Makonda alikuwepo mara Kapilimba mbona hatukuelewi wewe
  10. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

    Tundu lisu hataki kusaulika ameona kiki ya kupigwa risasi inaendelea kumtoa
  11. P

    JamiiForums Tanzania Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

    Hata Osama akitokea sehemu watu wataenda kumwangalia
  12. P

    JamiiForums Tanzania Matukio katika Picha: Mapokezi ya Freeman Mbowe Kilimanjaro Machi 19, 2022

    Wengine wameenda kuhakikisha ni gaidi kweli
  13. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kushinda uchaguzi 2025

    Mnafikiri chadema mkiendeleza vita vya kumkejeli na kumtukana marehemu Magufuli mtapata mafanikio kisiasa?
  14. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kushinda uchaguzi 2025

    Halafu chadema sio chama kikuu cha upinzani kina kiti kimoja bungeni hakina kambi rasmi ya upinzani msijimwambafai
Back
Top Bottom