Hata hii thread nimeshindwa kumaliza kuisoma pale tu niligundua kua aliyeiandika anatetea et warudi shule... kaaaah et ni wadogo... wadogoooo..... muachen magufuli apige kazi jamani lazima tunyooshaneee ili tuishimiane halafu kumbuka kitu kina sheria na kanuni hvyo hata shule zinakanuni zake...
Habari za majukumu wadau wa Jf. Nahitaj mwenye mawazo au mwenye kuelewa anishauri. Nahitaji kulima mihogo kwajir ya biashara lakin nahitaji ushaur wa aina gani ya mhogo wenye soko kwa sasa. Pia masoko yake yapoje kwasasa. Bila kusahau changamoto zake.kilimo nafanya mkoa wa Tanga. Naomba kuwasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.