Recent content by Pascal_TZA

  1. Pascal_TZA

    Prophet Suguye alitabiri kifo cha Kiongozi Bungeni

    Kiongozi wa dini maarufu mtandaoni, @prophet_nicolaus_suguye , hivi karibuni aliandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram akihimiza maombi kwa taifa na mihimili mitatu ya dola, akidai kuona dalili za kuondoka kwa viongozi wakubwa. Ujumbe huo umeibua mjadala mkubwa miongoni mwa wananchi...
  2. Pascal_TZA

    Bilionea Lugumi kuhudhuria ‘Kikao cha Wanaume’ April 2, 2026

    Kikao maalum kwa ajili ya wanaume kitafanyika April 2, Mlimani City na kimeandaliwa na @prophetipm kikilenga kuwakutanisha wanaume watu wazima pamoja na vijana ili kujadili masuala muhimu yanayohusu maisha, maadili na juhudi za kujiletea maendeleo binafsi. Miongoni mwa wazungumzaji ni...
  3. Pascal_TZA

    Ibada ya kuvunja chungu na kuvuka bonde la hela Nabii Suguye

    @prophet_nicolaus_suguye anakukaribisha kuabudu pamoja nao katika Kanisa la WRC Kivule Matembele ya Pili Jumapili hii ambapo ni Ibada maalum ya KUVUNJA CHUNGU CHA KICHAWI na kupita BONDE LA HELA @prophet_nicolaus_suguye anakuita Jumapili hii March 15, 2025 na anasema “Adui anataka kusitissha...
  4. Pascal_TZA

    PostGE2025 Mwamposa “Mauaji yaliyotokea siku ya uchaguzi yalinihuzunisha sana”

    Mtume Mwamposa akiongea na waandishi wa havari juu ya Mkesha wa Vuka na Chako unaofanyika leo katika Viwanja vya Kawe DSM amesema moja ya jambo lililomsikitisha mwaka 2025 ni mauaji yaliyotokea katika Uchaguzi wa October 29,2025 “Nimesikitika 2025 kgutokana shida iliyotokea katika Taifa letu...
  5. Pascal_TZA

    GE2025 Uchaguzi Zanzibar inadaiwa Makamu Mwenyekiti atoa rushwa kumtetea Mwanae

    Makamu Mwenyekiti wa UWT adaiwa kutoa maelekezo wasimamizi wa Uchaguzi kuhusu Mtoto wake Wardat Nassir Ali anayegombea Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar ili aweze kupata ushindi. Pia ameonekana akigawa rushwa hadharani kwa wajumbe wa mkutano huo nje ya ukumbi wa mkutano, na wajumbe...
  6. Pascal_TZA

    GE2025 Thom Mnkondya ajitosa ubunge jimbo la Tunduma

    Moja ya vijana waliokuwa wakisubiriwa kwa hamu kubwa kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Tunduma ni Thom Mnkondya, ambaye leo amekamilisha hatua hiyo muhimu. Thom ameendelea kujizolea umaarufu mkubwa miongoni mwa vijana na wakazi wa Tunduma kwa ujumla kutokana na uaminifu, uchapakazi, na...
  7. Pascal_TZA

    PreGE2025 MNEC Ndele Mwaselela: Hakuna wa kushindani na Rais Samia kwenye uchaguzi 2025

    HAKUNA WA KUSHINDANI NA Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye uchaguzi 2025, MNEC Ndele Mwaselela Mjumbe wa halmashauri kuu ccm taifa (NEC) ndugu Ndele Mwaselela amewaambia wananchi wa mkoa wa kagera kuwa kazi nzuri za Dkt Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne katika sekta zote zimefanya...
  8. Pascal_TZA

    Suguye na miujiza ya kugusa vazi lake Jumapili hii

    Mtumishi wa Mungu @prophet_nicolaus_suguye Anakukaribisha kwenye Ibada kubwa ya KUSHIKA VAZI LA KINABII Itakayofanyika siku ya Jumapili 23/3/2025 katika kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM) lililopo Ukonga - Kivule, Matembele ya pili jijini Dar es salaam. Ibada ya kwanza...
  9. Pascal_TZA

    Maajabu ya vazi la Nabii Suguye Jumapili hii

    Mtumishi wa Mungu Prophet Nicolaus Suguye Jumapili hii tarehe 16/3/2025 kwenye UZINDUZI WA WIKI YA OPERATION YA KUVUNJA, KUBOMOA NA KUHARIBU MALANGO YA KUZIMU NDANI YA FAMILIA ambapo Nabii Suguye atawavisha Waumini VAZI lake lenye MAAJABU YA KINABII. “Biblia inasema kwenye Kitabu cha Mathayo...
  10. Pascal_TZA

    Je, CPA Makalla kang'olewa?

    Makalla yupo ziarani China
  11. Pascal_TZA

    PreGE2025 Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka

    Baada ya kuachiwa huru leo, Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka kusukuma mabadiliko nchini mwetu. Pia, Soma: Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi Akiongea leo nje ya Mahakama ya Kisutu baada ya kuachiliwa huru baada...
  12. Pascal_TZA

    Kauli ya Wakili wa Dkt. Slaa nje ya Mahakama

    Baada ya Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi Kisutu kumuachilia huru Dk. wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo. Wakili wa Dk. Slaa amezungumza kile ambacho kimetokea Mahakamani hapo nakusema hakukua na majadiliano yoyote kati...
  13. Pascal_TZA

    PreGE2025 Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

    Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachilia huru Dk. wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo. Shauri Na.993 la mwaka 2025 Dk. Slaa alishtakiwa kuchapisha taarifa za uongo kupitia ukurasa wa X zamani Twitter Leo...
  14. Pascal_TZA

    Baba wa Mke aliyeuawa na kuchomwa moto aridhika na Hukumu

    Baba mdogo wa marehemu Naomi Marijani ambaye aliuawa na kuchomwa moto na magunia mawili ya mkaa, Robert Marijani amesema kuwa kama familia wameridhika na Hukumu iliyotolewa leo na upande wao sasa wanajiandaa kuzika upya mabaki ya mwili wa Naomi, baada ya kesi kumalizika. Marijani ameyasema hayo...
Back
Top Bottom