Nilikua na stafmet mwenzangu, siku moja akafanya tathmini ya nguo zake, na akaniambia suruari kanunu elfu 8,tu, blaus 4000 tu, open shoe zake tsh 5000. Nywele katengeneza kwa tsh 11,000. Laakini kutokana na rangi yake asilia ( alikua mpare) Umbo lake wafanyakazi wote pressure juuu, kumtamani. we...