Binafsi huwa najiuliza ni kwanini mashamba makubwa yanafanya vizuri sana. Ninapogusia mashamba makubwa ninamaanisha mashamba ya kisasa. Nimekuwa nikifanya study juu ya makala za kilimo, kuona baadhi ya mashamba wanavyo fanya kazi, na haya ndio mambo ya msingi niliojifunza.
1. Maabara ya shamba...
Nalitazama suala hili kwa pande mbili, moja kama dharau na ina impact kwa aliyedharauliwa na aliyedharau. Mbili ninatazama suala hili kama ubinadamu. Ni vizuri kujua kuwa watu hukosea na pengine hata yeye anajuta kwa kusema hivo.
Nb: Maneno yako yanaweza kuwa mlango au kuwa kifungo kabla...
Zipo sababu kadhaa kwanza ni kupanda kwa bei ya mafuta so gharama za usafirishaji zitapanda, pili gharama za kuagiza mbolea na kodi za bandarini. Kumbuka baadhi ya mbolea hazitoki Tanzania. Tatu ni ushindani, demand ya mbolea ni kubwa sana kwa sababu sasa hivi haipatikani. Vita zimefanya...
Nimeamka leo vizuri kabisa. Namshukuru Mungu, ila kuna habari nimeiona naombeni shule kidogo. Hivi nchi yetu ya TANZANIA inachukuaga takwimu au niseme ina watu wazuri katika ujenzi wa takwimu.
Nauliza hivi kwa sababu kubwa moja, leo waziri wa vijana anasema kuwa ukosefu wa ajira kwa vijana ni...
Kama haujapanda chochote shambani kwako unapiga hii dawa, utasubiri muda wa week mbili. Then utaanza kilimo chako depending unalima nini.
Lakini kama unaanza kufanya palizi yaani kuua magugu katika shamba mfano una mahindi shambani kwako hapo utapiga magugu pekee epuka kupuliza hadi kwenye...
Washikaji eeeh
Leo ninatamani niwape taarifa kidogo kuhusu dawa imayoitwa PARAFORCE. Sasa hii ni dawa inayotumika kuua magugu, nyasi na hata kukausha mazao wakati wa mavuno mfano zao la PAMBA.
Paraforce ina ingridient inayoitwa paraquat dichloride viwango hutofautiana na muuzaji.
Dawa hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.