Recent content by paroko tarantula

  1. P

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

    Kuna watu namba mbili kwao ni kama uji na mgonjwa,,kwenye kundi lao ni no 2 kwenye ligi no 2
  2. P

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

    Ni kama fisi anaye fuatilia mkono wa mtu akitegemea utadondoka ,kumbe haudondoki mpaka jamaa anazama ndani.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Wasukuma ni wachawi sana kama wanavyoandikwa hapa JF?

    Ukiona mtu anapenda kuandika andika habari za kishirikina, huyo hamjui MUNGU..pia mda sii mrefu naye atakua Mchawi.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC, niliwatahadharisheni mapema mno kuhusu hili hapa JamiiForums na leo ndiyo mnalifanya acheni Dharau sawa?

    Ukishauriwa na mchawi na kuukubali ushauri wake,,siku sii nyingi nawe lazima utakua mchawi
  5. P

    JamiiForums Tanzania Sanamu la Yesu halijachoka kupigwa na radi

    MUNGU HANA MFANO
  6. P

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kuwa ndoto uliyoota ni ya Mungu au ya shetani?

    Kama huna neno la MUNGU Huwezi kuyajua(pambanua) yohana 6;63
  7. P

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kuwa ndoto uliyoota ni ya Mungu au ya shetani?

    Tofautisha ndoto na maono mhubiri 5:3 anasema ndoto huja kwasababu ya shghuri nyingi,,
  8. P

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kuwa ndoto uliyoota ni ya Mungu au ya shetani?

    Hua nakisoma sana,,,ili uijue biblia lazima ujue tofauti kati ya agano la kale na jipya,bila kijua huo utofauti utasumbuka sana, ndiyo maana ile waebrania 1:1--2 anasema MUNGU alisema zamani na watu law njia nyingi mwisho wa siku hizi amesema nasi kwa njia ya mwana (YESU)
  9. P

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kuwa ndoto uliyoota ni ya Mungu au ya shetani?

    Majibu haya siyo kweli, Mungu hasemi nasi leo kupitia ndoto bali maandiko soma ebrania 1:1--2
  10. P

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kuwa ndoto uliyoota ni ya Mungu au ya shetani?

    Ndugu soma ebrania 1:1--2
  11. P

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kuwa ndoto uliyoota ni ya Mungu au ya shetani?

    Hatuko kwenye ndoto leo ,,,bali MUNGU amejifunua kwa njia ya maandiko matakatifu (Biblia) Kwahiyo ukisikia mtu anaesema MUNGU amenitokea kwenye ndoto huyo ni mwongo,, soma mhubiri 5:3
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waadventista Wasabato hamuipendi historia yenu halisi kabla ya 1863

    Yesu hakukataa kuitwa mwana wa MUNGU mathayo 16;13--16
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nyumba za ibada zimegeuza muelekeo

    Kipofu akiongozwa na kipofu wote Waikiki wako katika hatari,
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nyumba za ibada zimegeuza muelekeo

    Kwani kanisa ni nini? tuanzie hapo,
Back
Top Bottom