nimekuja na tahadhari ya kwa watu sugu wasio itakia mema nchi yetu kwa sababu zao za ubinafsi na ufsadi kwa wasiingilie mchakato wa katiba wa sasa kuzuia matakwa ya walio wengi jinsi gani wanataka nchi iongozwe,jambo la msingi wanalopashwa kuja ni kwamba wao ipo siku hawatakuwepo lakini tanzania...
wana jf kwa mara nyingine naungana nanyi kwenye jf ili kutoa dukuku zangu kama mtanzania ili kwa pamoja tujenge nchi yetu ,tanzania itajengwa na watanzania wazalendo tu na si vinginevyo,kwa maoni yangu ili tuweze kwenda mbele kwa kasi kimaendeleo ipo haja kuweka mapendekezo katika katiba ijayo...
NAPE ushauri wangu kwako kaa chini jipange upya kama unataka kuwa mwanasiasa makini tegemeo la watanzania siku zijazo kwa sasa nahisi usipokuwa makini siasa za chama chako kwa sasa ni hatari kwako utapoteza mwelekeo usiige nyayo za tambwe hiza:rain:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.