Recent content by Parit

  1. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?

    Jambo muhimu ni kwamba watu maarufu kwa nafasi ya wasaani wasitutoe kwenye reli. Kwa vile wao wanataka sisi watufikirishe jambo la muhimu ni kuzi unfollow na dislike kazi zao mitandaoni. Vile vile tukiona wanakera tuache kuhudhuria matamasha yao....ili ...wajue pamoja na kwamba wana vipaji...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: Vijumba vya kupunga upepo na sehemu ya wageni

    Hizi zitafanya tu vizuri sehemu za baridi na ambazo hazina mchwa
  3. P

    JamiiForums Tanzania KERO Kivuko Kigamboni ni changamoto kubwa

    Kwa siku za hivi karibuni kivuko hiki kimekuwa ni changamoto kubwa. Kwa sasa wananchi wengi walio na haraka kuelekea kazini wanalazimika kutumia bodaboda kupitia Daraja la Nyerere ambayo hii ni gharama kubwa sana ukizingatia kipato cha mtanzania. Hili ni suala ambalo limeendelea kuwafanya...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nini Siri ya Rais Samia "Kumtumbua Boss" Usalama wa Taifa?

    Ok
Back
Top Bottom