Recent content by ParisLot

  1. ParisLot

    JamiiForums Tanzania Ni nani mwenye uwezo wa kutoa jibu la swali hili? Mimi nimechemka

    Hapo wote wazinguaji ila MCHINA ana afadhali kidogo!
  2. ParisLot

    JamiiForums Tanzania Watoto hawataki kutoka sebuleni nivae nguo

    We jamaa bwana[emoji23][emoji23] huwa unanifurahisha sana na threads zako…keep it up!!!!
  3. ParisLot

    JamiiForums Tanzania Uganda wametupita parefu sana kwenye maendeleo

    Kusema kampala uganda ni pazuri kuliko dsm? Labda uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu…kwa east africa ukitoa nairobi dsm is next then kampala….
  4. ParisLot

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya huwezi kuwaambia chochote kuhusu Sauli yao

    Wahaya ni frester Wamakonde maning nice
  5. ParisLot

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya huwezi kuwaambia chochote kuhusu Sauli yao

    Sauli yuko poa japokuwa anapata upinzani sana kutoka kwa NEW FORCE/Golden deer
  6. ParisLot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Chai how??? While mtu anaandika kuomba ushauri??? I just wondered [emoji23]
  7. ParisLot

    JamiiForums Tanzania Poti wangu DC Julius Mtatiro tafadhali fanya tu Kazi za Rais Samia na haya Masuala ya Mpira wa Bongo huyawezi na yatakuaibisha sawa?

    We jamaa zamani ulikuwa unatoa nondo sana ila nowadays umechakaaa….sio kila hoja ya kuandika inakushusha credit nyingine unapotezea…
  8. ParisLot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

    Mwanaume??? Unalia??? Duhh
  9. ParisLot

    JamiiForums Tanzania Wanaosali kwa Mwamposa asilimia tisini ni waislam

    Hahaha nimecheka sana
  10. ParisLot

    JamiiForums Tanzania Acheni 'Double Standards' utampelekaje Fatma Nyangasa Morogoro badala ya 'Kumpromoti' Albert Msando ambaye kafanya Makubwa huko?

    Sure amekurupuka sana…sometimes piga kimya tu unajihabiria kwa sisi tunaofatilia threads zako
  11. ParisLot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Dah kweli kabisa nahisi maisha yamekuwa magumu sana kwa watoto wa kike na ni both wakishua na hawa wenzetu….kama juzi nimeamka asubuh nimekutana na wanawake 7 wote wanaomba pesa isiyozidi 10k[emoji23][emoji23] ukiona text imeanza na my tu kimbia fasta usijibu au utaskia my nikwambie...
  12. ParisLot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Hahaha hapo mwishoni ulivyomaliza i feel you
  13. ParisLot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume kamganda mchepuko miaka takriban 5

    Kama anatimiza majukumu yake ya msingi kwanini amroge?? Hapo asimroge unless kama akiwa hatoi matumizi na pia kwenye majukumu ya sita kwa sita atafute na yeye kamchepuko chake ili ngoma iwe droo
  14. ParisLot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Hahah umekula kimasihara sana I just wondered watu wanaosema ni ndoto[emoji23][emoji23] nowadays kuwala mademu imekuwa sio ishu kabisa ni vile wewe unavyoji position tu[emoji23][emoji23]
  15. ParisLot

    JamiiForums Tanzania Watatu wa familia moja wafariki kwa kugongwa na gari Arusha wakipeleka mtoto hospitali

    Kuna haja kubwa sana ya kufunga CCTV nyingi kwenye barabara zote
Back
Top Bottom