Hiyo stage ni kubwa sana hata miji mikubwa katika nchi zilizoendelea kama marekani katika majimbo ya Texas ambako kuna joto kali kuzikaribia nchi za middle east hakuna hiyo kitu, sembuse bongo.
Mkwawa
Kama ni adhabu ilifaa aanze kupewa Slaa, kwa kubadili matumizi ya fedha za chama kujinufaisha binafsi
Ilifaa aadhibiwe mbowe kwa kukosa uadilifu na matumizi mabaya ya madaraka
Kama kweli chama kinauthubutu kwa viongozi wake basi mjadala uwepo juu ya Mbowe na Slaa
Sio kwa zzk...
Mkuu pesa za msaada kwa ajili ya kampeni yeye kazigeuza deni, na amelipwa
Tuhuma ni nyingi mojawapo ni hiyo ya kubadili jina la msaada na kuita deni halafu akajilipa mwenyewe badala ya kurudisha kwa aliyetoa.
Hiyo ni sanaa
Hata mimi sijamuelewa, tatizo la Mnyika anachukulia watu wote wanaofuatilia suala hili ni mambumbumbu, sote tunajua kesi ya msingi ni zzk kujadiliwa uanachama wake na cdm wameenda mahakamani kumzuia juu ya hilohilo la uanachama sasa Mnyika unapotubadilishia subject eti mtajadili mambo mengine...
Tahadhari ni muhimu lakini sikubaliani na wewe kuamini kwamba mgogoro uliopo chadema ni wa kuchongwa ili kuwapumbaza ccm
Mgogoro ulipo chadema ni matokeo ya kukosekana kwa democras ndani ya chama, na hiyo ni nafasi kwa ccm kuitumia kujirudishia heshima yake na kuilegeza chadema kadiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.