Recent content by Parabolic

  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania CCM yamteua mgombea Chamwino, yamteua Faris Buruan kuwa Katibu Mkuu UVCCM

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imemteua Dkt. Netthо Ndijina Ndilito kuwa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Chamwino mkoani Dodoma, huku ikimteua Faris Buruhani kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM). Maamuzi hayo ni miongoni mwa yaliyofikiwa na Kamati...
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Masauni Ataka Mifumo Endelevu Ya Ukusanyaji Taka Na Hatua Za Kukabiliana Na El Nino

    Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, amewataka viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kuweka mifumo endelevu ya ukusanyaji na utunzaji wa taka, kudhibiti uchafuzi wa mazingira na kuchukua hatua za kupunguza athari za mvua za El...
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Miss Grand Nepal ametoa somo la kuwakilisha ujumbe unaogusa wananchi

    Vazi la mwakilishi wa Nepal katika Miss Grand International limeibua mjadala kuhusu nafasi ya mashindano ya urembo katika kuwasilisha maumivu ya wananchi, wakati Jihan Dimack wa Tanzania alichagua kuutangaza utajiri wa wanyamapori, mandhari na urithi wa taifa. Tofauti hizo zinaibua swali...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Ujerumani, Tanzania wazindua Kituo cha Taarifa cha Serengeti

    SERENGETI. Tanzania na Ujerumani leo wamezindua rasmi Kituo kipya cha Taarifa cha Serengeti baada ya kukarabatiwa, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo katika uhifadhi wa bayoanuwai, utalii endelevu na maendeleo ya jamii zinazozunguka Hifadhi ya Taifa ya...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mnyika ataka suala la Lissu kupigwa risasi liwe ajenda mkutano wa IPU

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesema suala la kupigwa risasi kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, mwaka 2017 lilipaswa kuwa miongoni mwa ajenda muhimu zinazofuatiliwa na kujadiliwa na Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Mnyika amesema hayo Oktoba 6, 2026 akisema viongozi wa IPU...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaongoza Mkutano wa 12 wa Mkataba wa Nairobi Kuhusu Uhifadhi wa Bahari

    Dar es Salaam. Tanzania imefungua rasmi Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi, unaolenga kujadili hatua za pamoja za kulinda mazingira ya bahari na maeneo ya pwani katika ukanda wa Bahari ya Hindi Magharibi. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 6, 2026, Waziri wa Nchi...
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mtu, Mfanyabiashara Na Siasa Zisizomuelewa Tena

    Mwandishi wa habari mkongwe, Ansbert Ngurumo ameandika makala hii kupitia tovuti yake ya Sauti Kubwa. Endelea... Freeman Mbowe. Kwa takribani miaka miwili sasa, Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni isiyo ya kawaida ya kumchafua kutoka kwa baadhi ya wanachama, viongozi...
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

    Diana Sajilo. Siku chache kabla ya kifo chake, Diana Edward Sajilo alikuwa na mambo mawili yaliyokuwa yakimkabili kwa wakati mmoja; kwanza maandalizi ya mitihani na kutafuta fedha za ada ili aweze kuendelea na masomo yake. Mwanafunzi huyo wa Chuo Kikuu cha Kampala International University in...
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Ofisi Ya Wakili Mkuu Wa Serikali Walinzi Wa Uchumi Wa Taifa

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe akizungumza na uongozi na menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa kikao kazi kilichofanyika jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Seif Shekalaghe ameipongeza Ofisi ya Wakili Mkuu...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Masauni Atoa Siku Saba Kukamilisha Tuta La Mto Lumemo, Aonya Athari Za Mvua Kubwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, akizungumza na Wananchi wa Kata ya Ipangalala pembezoni mwa Mto Lumemo wilayani Kilombero mara baada ya kumaliza ziara ya siku mbili mkoani Morogoro, kukagua hatua mbalimbali zinazochukuliwa...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Serikali yasisitiza wananchi kuendelea kusikiliza wataalamu athari za El Nino

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza na wananchi wa Kata ya Muhonda na Sungaji wakati akiwa kwenye ziara Wilaya Mvomero mkoani Morogoro, Septemba 28, 2026. Serikali imeendelea kutoa wito kwa wananchi kuendelea kusikiliza...
  12. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wakili Mpoki: Katiba mpya ni msingi wa kulinda haki za binadamu

    Wakili Mpale Mpoki, ambaye amekuwa katika taaluma ya sheria kwa zaidi ya miongo mitatu, amesema mabadiliko ya Katiba ni muhimu katika kujenga mfumo imara wa kulinda haki za binadamu nchini Tanzania. Mpoki, ambaye ameshiriki katika kesi mbalimbali zilizogusa haki za binadamu, uhuru wa kujumuika...
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola kuwa mali ya CCM: Kauli zinazofungua mjadala wa chama na dola

    Kauli ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paul Chacha, kwamba vyombo vya ulinzi na usalama ni “mali ya CCM”, imeibua mjadala mpana kuhusu uhusiano kati ya chama tawala, Serikali na vyombo vinavyotakiwa kulinda Jamhuri na wananchi wote...
  14. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kwamba Pipitida ana maisha mazuri kushinda Mimi kwa kutikisa makalio tu?

    You better watch your back
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Masauni Akagua Hatua Zilizochukuliwa Kukabiliana Na El Nino

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, ameanza ziara mkoani Morogoro ya kukagua hatua mbalimbali zilizochukuliwa kukabiliana na mvua za El Niño kwa ajili kubaini mapema maeneo na miundombinu hatarishi ili hatua zichukuliwe kabla ya mvua...
Back
Top Bottom