Naomba kufahamu dereva anapoishiwa petrol katikati ya Barabara ni kosa? Kama ni kosa kuna faini anatakiwa alipe au anapelekwa mahakamani?
Kuna ndugu yangu aliishiwa mafuta barabarani traffic police alipofika akaleta breakdown ikachukuwa gari na kulipeleka Tegeta Police station na kumuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.