Recent content by pape sam

  1. pape sam

    JamiiForums Tanzania Natafuta dalali mwenye connections na matajiri wanaopenda kuwekeza

    Kuna wengine humu matajiri, weka dili nyoosha maelezo saiv matajiri wenyewe hawataki dalali, kitu kama kinajiuza na ni asset kinauzika bila ushawishi. Acha kuzunguka sana weka maelezo ya kutosha ndipo tuje pm, sasa nianze kujieleza pm mi fulani nikuulize .ni deal gan kweli?
  2. pape sam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Mume umepata tena ana sifa zote, legeza hapo kwenye pombe hata kesho nitoe posa tulee watoto pamoja
  3. pape sam

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira Portal unatutesa, mamlaka husika ifanyie kazi changamoto hii

    Changamoto yangu ni nimebadili majina yote matatu kuanzia vyeti vya chuo, form four la saba na cha kuzaliwa kinasoma majina ya zamani, ila vingine majina mapya, naomba kujua namna ya kuviweka pamoja na deed pol documents ninazo
Back
Top Bottom