Recent content by papacoin

  1. P

    JamiiForums Tanzania Usilolijua kuhusu Wamaasai

    Kwani mjini tunaenda kimamakabila.... Wanawafuta wake zenu coz wamesikia Wanaume wa mjini hawawezi kazi... Na kuwauzia dawa mpone upumngufu...mlionao... Kulinda geti zenu na ni kwasababu nyinyi ni maoga na wao jasiri.... Kama unabisha thubutu kupamabana na the King of the jungle.... Hapo...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Usilolijua kuhusu Wamaasai

    Ulisha sikia hata sikumoja wamasai wanakufa njaa au wanaomba chakula cha msaada kama nyie mashomba... Au ulitegemea mafanikio yao uwekewe matangazo.... Sio Sifa ila wamasai ni kati ya makabila machache yanayo jiweza kiuchumi... Ndo maana hakunaga omba omba kama sehemu zingine... Hukuti hata...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Usilolijua kuhusu Wamaasai

    Hahaha na kulala pia na wakezenu coz nguvu kwisha hamnazo tena... Ndo mnawakimbia kutafuta sijui dawa za kurudisha heshima zenu zilizo poromoshwa Kwaajili ya kila chipsi... Poleni
  4. P

    JamiiForums Tanzania Maasai enviction by their govermnet in favour of orttelo bussiness corparation the UAE royal hunting

    The government of the United Republic of Tanzania, through the minister of natural resources and tourism on 26/03/2013 has officially announced to forcefully evict people living in loliondo Game control area just in favour of the foreign investor the Ortelo Bussiness Corparation, the UNITED ARAB...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Tamko la wana Ngorongoro kwa waziri Kagasheki

    Waziri Kagasheki anaendeleza kile ambacho kinaonekana kuwa ni uonevu wa serikali kwa wananchi wa wilaya ngorongoro, bila hata ya chembe ya huruma Kagasheki amekuwa akifululiza vikao wilayani ngorongoro, kwa kile kinacho onekana kuwakingia kifua Matajiri wa Saudi Arabia ORTELO BUSSINESS...
  6. P

    JamiiForums Tanzania matokeo ya kidato cha 1V shule zenye majina ya viongozi

    nani abebeshwe lawama kwakufeli kwa wanafunzi kidato cha ne: serikali na sera/mifumo yake ya elimu au walimu na taasisi za elimu, wanafunzi na wazazi wao, watunga mitaala na wanatunzi/waandishi wa vitabu, wasahihishaji wa mitihani au NAni? nani haswa alaumiwe na kufanyike nini illi kuokoa...
Back
Top Bottom