Mkuu ulikuwa sahihi sana ila nna doubt kuhusu South Africa hawa jamaa sera yao ya mambo ya nje iko strict kidogo katika kuwaprotect ma asylum seeker nakumbuka kuna General wa Rwanda anaitwa Faustine Kayumba Nyamwasa bado hadi leo yupo uhamishoni SA.
Lissu soon atasolve ishu yake maana dawa inapatikana soon,msala umebaki kwenu nasikia mnaforge sahihi za wabunge wa chadema ili mpate mamilioni ya mabeberu kwa bunge kuonekana kuna upinzani.
Sent via IFTTT
Mheshimiwa Lissu utafanyaje Mawakala wako nchi nzima wasipoingia vituoni? Masanduku ya kura yakitolewa vituoni kiholela na nakala za matokeo kukosekana?
Je, unafikiri Watanzania wana Utayari wa kuingia barabarani?
Baada ya mvurugano wa kimatokeo pamoja na kikatiba ? Je utakuwa tayari kukaa...
CCM ni kama malaya ambaye tayari ameshavua nguo,kilichobaki tu ni sisi wananchi Tarehe 28 oktoba tuwachomeke Dudu wakaendelee na biashara zao za Mayanga construction.
Mkuu kabla lissu hajarudi nyumbani kuna utopolo ulikuwa unazungumzwa kwamba mwaka huu CCM itachukua kata/majimbo yote ila baada ya kimbunga cha CiC TUNDU LISSU umesikia tena ule utopolo?? They have chickened out yameogopa balaa na mwaka huu upinzani ukijipanga vizuri utachukua majimbo mengi sana...
Safi sana,welcome to our All democratic progressive forces movement for the Total economic Liberation of Tanzania,tuendelee kumpa support comrade TUNDU A. LISSU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.