Recent content by papaa flancis

  1. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu idadi ya subtopic za mechanics

    Wadau wote wale wanaosoma physics naomben mnijuze subtopic za mechanics zipo ngapi na ni zip, kunachalii ananibishia hapa.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wale wanaojua kisarika sekondari

    jamani naombeni mnielekeze kisarika secondary ilipo nataka nimpeleke dogo kachaguliwa huko. Halaf ningependa kujua hiyo shule ina mabweni au la.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano (Awamu ya Pili)

    daaaa Yan acha 2 wamechukua 3 mwisho 29 kwa wale wenye 30na31 wamewatema tena lkn ni kwa wavulana only wasichana wamebebwa wote
  4. P

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliochaguliwa Kidato cha Tano (Awamu ya Pili)

    wale mnaojua kisalari secondary ilipo naomben mnielekeze jaman nataka nimpeleke dogo shule
  5. P

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Ebola Tanzania, mmoja ahofiwa (Habari yakanushwa kutokuwa ya kweli)

    mh apa sas watanzania tumekwisha ebola ndo kila kitu E MOLA OKOA ILI JAAZI
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    jamani kwa wale mnaosubiri second selection tayar ishatoka ipo kwenye nacte news #www .nacte.go.tz mtakuta apa kama amna malzia kuaply mavyuo apa sorry kama nimewatishaa. kip it up
Back
Top Bottom