weka hat
weka hata cituo na mikato basi.Halafu sema walichosema kikaonekanani uchochezi kwako,ili nasi tujiridhishe ndo sasa tukuunge mkono au kukukatalia
Kama ni hao tu basi Rais amejitahidi kubalance..Maana ukisema ulist na Wakristu..ratio itakuwa 1:200 hivi. So ili tumuelewe aweke na List ya Wakristo.Vinginevyo ni kelele tu!
Wanaoshangilia na kushabikia style hii ya uongozi: visasi, hasira na uvivu wa kufikiri jitafakarini.Nchi inaenda kubaya.Kusaini ni takwa la kisheria wa si utashi. sasa unapochocheaa mgawanyiko wa watu na wewe ni kiongozi...!daaah! napata shida juu ya hatima ya nchi yetu
Jmc06 mimi nimeenda.na nimekaa na nimefanya kazi.lini na muda gani..au kama bado nipo au la hilo niliache.Kuna baadhi ya mambo nakubaliana na wewe kama mfumo wa ukusanyaji mapato; teknolojia (kwa maana ya matumizi yake),nidhamu ya kazi,etc.Lakini katika mfumo wa elimu HAPANA .a bado sana. Wana...
Kigezo cha TCU ni 3.5. Aidha argument yako kuwa GPA za vyuo ulivyovitaja haziwezi kulinganishwa ni ya uvivu wa kufikiri.Unataka kutuambia kila mtu anaye aspire kuwa mtaaluma apewe GPA tofauti ya kuwa nayo kulingana na chuo alichotoka? Halafu nawe unalalamika kuwa unataka kuwa mtaaluma..!
This argument inaonesha kuwa wewe ndio uwezo wako ni ziro.what is the basis of of this "not well thought of poor argument!!!".Hiyo SUA unayoizungumzia ndivyo mnavyo-argue hivi? Too low and cheap for a presumably better SUA graduate
Ahsante Majeshi. Kwangu binafsi GPA has never been an issue, Na nakumbuka wakati nasoma niliwahi kuvutana na mkuu wangu wa Idara juu ya utaratibu wa GPA kuwa haufai.Hapa nilikuwa nafafanua sera/utaratibu uliopo kwa mujibu wa TCU. Kwangu hoja sio kuleta wa nje wala wa ndani.. kwa sababu kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.