Recent content by Panzi Mbishi

  1. Panzi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio CV nzito na iliyoshiba ya Ridhiwan Kikwete

    Us**nge huu
  2. Panzi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Modestus Kapilimba Former DGIS na (IT) ndiye aliunganisha NIDA, NEC na CCM?

    Ndo mnapokosea, ilibidi iwe siri ukisema ndio wako tayari kushinda kivyovyote
  3. Panzi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Modestus Kapilimba Former DGIS na (IT) ndiye aliunganisha NIDA, NEC na CCM?

    Hizo nchi zinajua mabalozi na watumishi wote wa ubalozi ni wana usalama, hata wao waliowaleta kwetu ni wana usalama.
  4. Panzi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Freemasons waliwezaje kustahimili upotoshaji wa Kariakoo?

    Huyo mchawi tu
  5. Panzi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Freemasons waliwezaje kustahimili upotoshaji wa Kariakoo?

    Acha ujinga
  6. Panzi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hupendi kuambiwa ambiwa kuhusu wewe yaani kinakukera?

    Hili suala la kunipangia watoto linakera sana, wengine wanataka tuzae kama visungura tuteseke kama wao. Mimi nina falsafa yangu, nimejipangia utaratibu wangu kuwa nitazaa wachache kwa kuwa malezi nayo gharama siku hizi so sitaki nizae malezi yanielemee mpaka nishindwe kuishi. Mimi napenda...
  7. Panzi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hupendi kuambiwa ambiwa kuhusu wewe yaani kinakukera?

    Itafikiri umeridhika na hiyo hali
  8. Panzi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hupendi kuambiwa ambiwa kuhusu wewe yaani kinakukera?

    Hujamaliza digrii tu mbona ada sio kubwa? Utafikiri wanajua nazongwa na mangapi
  9. Panzi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Tufute mfumo wa vyama vingi kibaki kimoja, Demokrasia siyo saizi yetu

    Kwani hayo mavyama kuna anayeyataka? Tatizo ni mikataba ya kimataifa ambayo ni lazima
Back
Top Bottom